Safari ya rais Uhuru, China yatia mkataba na kuifanya Kenya kuwa taifa la kwanza Afrika kuuza maparachichi China

Safari ya rais Uhuru, China yatia mkataba na kuifanya Kenya kuwa taifa la kwanza Afrika kuuza maparachichi China

Ndugu yetu wacha kuhukumu bila kuwa na uzoefu wowote hasa kwenye upande wa export.
Kwa sasa expert department yetu imejaa ukiritimba wa hali ya juu sana kisa mambo ya siasa zenu za kijinga
Fursa zipi ambazo hujaziona ? Mumeshapewa soko kupeleka mihogo china, umefuatilia ? Mnaambia comoro wana uhitaji mkubwa wa bidhaa mf nyama, nafaka nk, zambia, wanahitaji vyakula, sudan nk ni fursa ipi ww unahitaji au ni kulalamika, poor you !!
 
Kwa uhalisia, Kenya wamejipanga siku nyingi sana kwenye sekta ya mbogamboga, maua na matunda... Ukiangalia vyanzo mbalimbali vya taarifa kwa foreign earning projections, mwaka jana wenzetu maingizo ya Horticulture yalikuwa kati ya USD 104 ndani ya miezi 8. Taarifa ya mwisho wa mwaka waligonga USD 153 bil.

Kwetu hapa, taarifa toka TAHA (Tanzania Horticultural Association) iliyotolewa na Jacquelene Nkindi, Tanzania tulikuwa tunategemea kuvuna USD 1.3 bil ndani ya miaka 3 - 5;

Where do we fail; hatuna wazalishaji wengi
Part ya kinachazalishwa kinakuwa exported kupitia Kenya kwa kuwa kwa muda mrefu hatukuwa na ndege za kusafirisha mizigo.
Kwa kuwa hatukuwa tumejiandaa kwa pamoja kimkakati, airports zetu hazikuwa na cold-rooms kwa ajili ya storage ya horticultural products including parachichi

We have a long way to go kama tutadhania mambo yatatokea by default settings. Ila kama tutakuwa na mkakati wa pamoja kutoka wizara ya Kilimo/Uwekezaji/Uchukuzi na Fedha kuwa na agri-financing kwa ajili ya kupanua uwekezaji kwenye kilimo, tuna nafasi ya kupiga bao mbele ya safari.
It needs deliberate effort to arrive there and investment strategy to speed up the production which will increase the volume of what is needed in the market.

Tanzania ni yetu sote, tukiamua kwa pamoja tunaweza kuneemeka na foreign earnings including parachichi
Hakuna sera hakuna wafuatiliaji hakuna ni manguo ya kijani na mavitambi makubwa tupu
 
Kumbuka walivyo teketeza wale vifaranga Arusha yaani hii nchi na kisilani chetu tutaendelea kuwa ombaomba tu
Hii ndiyo lugha ya mtanzania halisi, tena halisi sana, yuko tayari kumuua mkulima eti anamkomoa mfanya biashara kutoka kenya, mentality hii hatutoki ngoo
 
Rais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.

Wakati sisi maparachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.
Dah...siku ukipata bahati ya kufika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe....uje kucomment kwenye huu uzi [emoji41]
 
Tatizo letu hapa watendaji wetu kila kitu wanafanya kwa siasa na jambo hilo linazidi kutudidimiza kwa kila idara.
Kuwafikia kenya itakuwa ni ndoto
Kuna ndoto zinazowezekana kutimia au zitabaki za alinacha.

Kuna farao wa Misri aliwahi kuota ndoto. Uzuri wake alipata mtu sahihi wa kuifikia ndoto ile. Watanzania tunahitaji visionaries wenye lengo la kufanya mambo ya uwekezaji kwenye sekta kama hizi kuwa inclusive. Ila kama kila mtu atafanya kivyake, it may take forever to experience the realization ya nchi ya maziwa na asali
 
Wanawavizia wazalishaji au wanao import hiyo mifuko wawapige faini za kutosha
Wao wamekimbilia wanasema ukikutwa na mfuko fine.....wao wanafikiria kuchuma tu

Ova
 
Pole sana mkuu jana nimeshuka na mwewe sijui wewe mwendesha guta
Dah...siku ukipata bahati ya kufika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe....uje kucomment kwenye huu uzi [emoji41]
 
Tatizo kuu hapa ni kuwa na mtu anayetaka kufanya kazi idara zote za serikali
Kuna ndoto zinazowezekana kutimia au zitabaki za alinacha.

Kuna farao wa Misri aliwahi kuota ndoto. Uzuri wake alipata mtu sahihi wa kuifikia ndoto ile. Watanzania tunahitaji visionaries wenye lengo la kufanya mambo ya uwekezaji kwenye sekta kama hizi kuwa inclusive. Ila kama kila mtu atafanya kivyake, it may take forever to experience the realization ya nchi ya maziwa na asali
 
Hapa kwetu ni majungu tu na kuharibu tulichokwisha kizalisha
Usitegeme huku mkulima wa mazao au matunda atatoboa kwa kuwauzia Hawa wakina mo au bakhresa
Nlikutana na kampuni ya baresa bei aliyekuwa ananunulia nanasi kiwangwa Dah mpaka nkachoka maana analalia
Ila huko walikuwa hawamuuzi sana sana walikuwa wanawauzia wafanyabiashara wanaotoka kenya,zenji,komoro etc

Ova
 
Kazi yao ni kuwapiga faini kubwa kubwa tu
Tuna maparachichi mazuri
Tuna Asali nzuri tu
Tuna bidhaa zinazotokana na kilimo bora lkn watu wanafuga mifugo nyama tunazo
Lkn serikali hawana nia ya kuwatafutia wananchi fursa kwenye masoko ya nje

Ova
 
Watu wenyewe kama hawa unategemea nini?
Hakuna sera hakuna wafuatiliaji hakuna ni manguo ya kijani na mavitambi makubwa tupu
FB_IMG_1555773311437.jpeg
 
Jana nilishuka hapo nikamkuta mzee wako anatafuta ridhiki
Dah...siku ukipata bahati ya kufika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe....uje kucomment kwenye huu uzi [emoji41]
FB_IMG_1555773311437.jpeg
 
Hakuna
Wanawavizia wazalishaji au wanao import hiyo mifuko wawapige faini za kutosha
kuanzia waziri mkuu kurudi kwenye pumba zote, anayesema alternative packaging ni hii, na mashine ni hizi, na mkinunua mtapata rebate ya hivi labda miezi mitatu, wao hawajali , wanakuambi ukishikwa fine, tnis is Tanzania
 
Usitegeme huku mkulima wa mazao au matunda atatoboa kwa kuwauzia Hawa wakina mo au bakhresa
Nlikutana na kampuni ya baresa bei aliyekuwa ananunulia nanasi kiwangwa Dah mpaka nkachoka maana analalia
Ila huko walikuwa hawamuuzi sana sana walikuwa wanawauzia wafanyabiashara wanaotoka kenya,zenji,komoro etc

Ova
Honestly, hawa waarabu koko na wahindi koko tulio nao hapa ni wanyonyaji wakubwa. Hawana mifumo ya kiweledi katika biashara, wamezungukwa na wapambe ambao bila wao hupati deal ya biashara;
bei zao kama kuna mkulima atawauzia, hapati faida hata ya 100;
Bongo umasikini kupungua ni changamoto ya kimfumo kwa kuwa hatuna wanunuzi wenye kununua kwa bei ambayo itamfanya mkulima mwaka unaofuatia kupanua biashara.

Suluhisho zuri, ilitakiwa kuwa na mfumo mpya wa vyama vya ushirika ambapo mauzo yanafanywa kwa pamoja, ni rahisi kupata wateja wakubwa na ku-negotiate bei nzuri. Kama kila mkulima akiuza peke yake, lazima apigwe na inapelekea kuwa na mfumo usio rasmi ambapo japo mashamba ni mali ya wakulima ila wanakuwa kama vibarua kwenye mashamba yao wenyewe
 
Apparently that is not the strength of people from your side of the border. so anything that can be asserted without evidence can be disproved without evidence. Also, i would think that people will always try to fact check things, but I think I overestimated the capacity for reason from our southern neighbours, honestly Ugandans reason in a far much more sophisticated manner and with a lot of nuance than our neighbours to the south, probably it is due to our shared history of strong educational values. They will fact check things and critique. I have put out the premise of my argument it is, you to produce counter arguments that disprove my arguments, if they are credible i am not unable to

1) https://businesstoday.co.ke/xinhua-builds-africa-regional-bureau-nairobi/
2) https://www.researchgate.net/publication/267683079_STATUS_OF_AVOCADO_PRODUCTION_IN_KENYA
3) http://kenyaavocados.co.ke/
4) We host the largest UN office outside the west( our show of diplomatic might), we host the largest number of envoys in the region. Anc companies have been shifting and setting up their africa HQ in Kenya eg. General electric (Moved from south africa to Nairobi), google, facebook, microsoft, xinhua news network, start times, Airtel the list is very long.
As i said a simple google search does wonders to expand the horizons of your mind.

Ahaaa haaa haaa
That's lame and fake excuses.
No one is not capable of double checking of whatever is brought in here. In this high tech era everything is on our finger tip.

In JF, we are trying to maintain the norm of bringing facts figures from credible authority. We normally value the person who give figure along side with citations. Otherwise we take them as empty words (or a crap).

About the hq of un organ and other MNO, that is not an issue. One can know it or NOT.

Again, do not hide behind the Google and other bla bla. We honour a person who come up with the evidence.
 
Wakenya walikuwa wananua zabibu dodoma, wakazuiwa zikaozea mashambani, mahindi songea, korosho, machungwa , mbaazi , nikisema sisi ni bure, yaani nimbuure kweli
 
Hakuna
kuanzia waziri mkuu kurudi kwenye pumba zote, anayesema alternative packaging ni hii, na mashine ni hizi, na mkinunua mtapata rebate ya hivi labda miezi mitatu, wao hawajali , wanakuambi ukishikwa fine, tnis is Tanzania
Hapo ni kukupiga faini kuongeza mapato
 
Back
Top Bottom