Safari ya rais Uhuru, China yatia mkataba na kuifanya Kenya kuwa taifa la kwanza Afrika kuuza maparachichi China

Safari ya rais Uhuru, China yatia mkataba na kuifanya Kenya kuwa taifa la kwanza Afrika kuuza maparachichi China

Fursa zipi ambazo hujaziona ? Mumeshapewa soko kupeleka mihogo china, umefuatilia ? Mnaambia comoro wana uhitaji mkubwa wa bidhaa mf nyama, nafaka nk, zambia, wanahitaji vyakula, sudan nk ni fursa ipi ww unahitaji au ni kulalamika, poor you !!
Umenisoma vizuri kabla ujaanza kuchangia mkuu? Nilichosema tunaacha fursa tunabishana mambo ya vyama yaani tumekewa siasa mbele kuliko kuchangamkia fursa kama hizo ulizotaja e.g mihogo,nyama kupeleka Comoro etc.

Ila cha kushauri serikali iweke mazingira mazuri kwa wenye nia ya kupeleka biashara kwenda kwenye nchi ulizotaka inaweza kuwa mitaji,elimu,ushauri etc
 
Mbona hilo la parachichi tulishatangaziwa kuhusu masoko China isipokuwa kwetu biashara ya parachichi imekuwa monopolized na kampuni mbili,moja ipo Mbeya na nyingine ipo Kilimanjaro.

Sijajua kwanini imekuwa monopolized na hizo kampuni mbili?
Haijawa monopolized. Yeyote kwenye muscle anaruhusiwa.
 
President Uhuru travelled to China to solicite additional financing for stretching the SGR to Kisumu. The move has proved to be unsuccessfull. Instead of making the Kenyans to go back home empty handed, the good Chinese fellow gave a "MAPARACHICHI" deal.
Here is the news.

The avocado export deal signed, makes China one of the largest importers of the fruit

It is estimated that when the agreement is fully implemented, the Chinese market will absorb over 40 per cent of Kenya’s avocado produce, making it one of the largest importers of the fruit. Other famous destinations of Kenyan avocado include Europe and the US
 
While you laugh, people who understand economics know this deal is way better than any infrastructural deal. This deal helps the normal citizen directly and will get millions of people into financial stability.
 
How are you going to absorb over 40 per cent of Chinese avocado markets? Are you introducing them for the first time in China? Hizo ni porojo tu kama porojo nyingine, juzi tu wachina wamesign the same deal with Tanzania.
 
You have always been stupid and brainless Redeemer. It is China that is going to absord 40% of Kenya's avocados, not the other way round. Please, Redeem yourself before you call yourself Redeemer.
 
Tungepewa hiyo loan bado mgepiga kelele vile deni linaongezeka yani hamtutakii mema ili mtupiku eti!
 
You have always been stupid and brainless Redeemer. It is China that is going to absord 40% of Kenya's avocados, not the other way round. Please, Redeem yourself before you call yourself Redeemer.

Ahaaa haaa haaa
What a disappointment; from SGR pact to MAPARACHICHI deal.
 
Back
Top Bottom