Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Poa tu
Dah......naona unazidi kujichanganyia tu[emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah......naona unazidi kujichanganyia tu[emoji41]
Umenisoma vizuri kabla ujaanza kuchangia mkuu? Nilichosema tunaacha fursa tunabishana mambo ya vyama yaani tumekewa siasa mbele kuliko kuchangamkia fursa kama hizo ulizotaja e.g mihogo,nyama kupeleka Comoro etc.Fursa zipi ambazo hujaziona ? Mumeshapewa soko kupeleka mihogo china, umefuatilia ? Mnaambia comoro wana uhitaji mkubwa wa bidhaa mf nyama, nafaka nk, zambia, wanahitaji vyakula, sudan nk ni fursa ipi ww unahitaji au ni kulalamika, poor you !!
Tafuta kamusi mkuuNini maana ya Monopolized ?
Tafuta kamusi mkuu
Basi inshaaAllah utapata siku yoyote mkuu.Sina
Haijawa monopolized. Yeyote kwenye muscle anaruhusiwa.Mbona hilo la parachichi tulishatangaziwa kuhusu masoko China isipokuwa kwetu biashara ya parachichi imekuwa monopolized na kampuni mbili,moja ipo Mbeya na nyingine ipo Kilimanjaro.
Sijajua kwanini imekuwa monopolized na hizo kampuni mbili?
Haijawa monopolized. Yeyote kwenye muscle anaruhusiwa.
How are you going to absorb over 40 per cent of Chinese avocado markets? Are you introducing them for the first time in China? Hizo ni porojo tu kama porojo nyingine, juzi tu wachina wamesign the same deal with Tanzania.While you laugh, people who understand economics know this deal is way better than any infrastructural deal. This deal helps the normal citizen directly and will get millions of people into financial stability.
😂😂😂😂😂 Kutoka SGR to DRC mpaka kukomaa na parachichi, ama kweli mchina kiboko
You have always been stupid and brainless Redeemer. It is China that is going to absord 40% of Kenya's avocados, not the other way round. Please, Redeem yourself before you call yourself Redeemer.How are you going to absorb over 40 per cent of Chinese avocado markets? Are you introducing them for the first time in China? Hizo ni porojo tu kama porojo nyingine, juzi tu wachina wamesign the same deal with Tanzania.
Uhuru worshipped Xi for the almost his whole last term but the rewards Xi is replying to him is hilarious, they formed a little tactical team together with "baba" for the parachichi stuff 😂😂😂 "baba" anaenda kuwaambia nini uthamaki Holly mollyAhaaa haaa haaa
From SGR pact to MAPARACHICHI deal.
You have always been stupid and brainless Redeemer. It is China that is going to absord 40% of Kenya's avocados, not the other way round. Please, Redeem yourself before you call yourself Redeemer.
😁😁😁😁😁 Gerarahia you nutYou have always been stupid and brainless Redeemer. It is China that is going to absord 40% of Kenya's avocados, not the other way round. Please, Redeem yourself before you call yourself Redeemer.
😁😁😁😁😁 Gerarahia you nut
Wacha hasira😅😅😅😅😅While you laugh, people who understand economics know this deal is way better than any infrastructural deal. This deal helps the normal citizen directly and will get millions of people into financial stability.