Katiba mpya bora ni muhimu !Matokea ya uchaguzi wa serikali za mitaa yametoa taswira ya namna vyama vya upinzani nchini vitaendelea kuwa wasindikizaji.
Vyama hivyo vitaendelea kuisindikiza CCM na kukiacha kiking'ara kuendelea kushika dola.
Marehemu Lowassa aliwahi kusema, " tukishindwa safari hii tutahitaji miaka 30 mingine ili tushinde.
Hiyo ilikuwa uchaguzi mkuu 2015.
Kwa matokeo ya uchaguzi wa seriiali za mitaa ulofanyika juzi; wapinzani wanahitaki miaka sio 30 labdai 60 ili waweze kushika dola.
CCM licha ya ukongwe wake, bado inapendwa sana na Watanzania.
CCM inapendwa sana na wananchi๐Bila police mbona CCM ni wepesi kuliko pamba
Mnajimilikisha uhai wa watu binadamu wenzenu wanakufa kwa na kupotezwa kisa wapinzani mnakuja humu na hoja za ki hayawani, unashinda je na hujashindana na mtu, CCM siku haipo limebaki jeshi la policeMatokea ya uchaguzi wa serikali za mitaa yametoa taswira ya namna vyama vya upinzani nchini vitaendelea kuwa wasindikizaji.