Safari ya Wema kuelekea bungeni yaishia UWT

Wema matimu yake yamemuangusha.Wema akae chini aangalie aue team zote awe neutral anaweza kuja kuwa mwanasiasa mzuri mameneja wamsaidie kumuongoza vzr ataweza kufanikiwa bado binti mdg

Team yake imevamia insta inashambulia diamond vibaaya
 
Mwenyezimungu atakufanyia wepesi...Ila chonde chonde nanunuu Usilivalile kutetea gesi yetu isitoke.

hahahhaaa...asante mine...ile mbona haitoki..
twenzetu kusiniii....mpk kielewekee...!!

najaribu kufatilia mtwara this yr ushindani uko juu san kila nkipiga simu kuulzia wanakuambia huku CCM sijui yaani
 
Jaman mwenye namba ya Wema anisaidie. Nataka nifanye naye business na si nyengine ni online business inaitwa 4corners najua atasaidia sana kutengeneza team Dah.
 
Mi naona kajitaidi na kajaribu ingawa Watu wana mu diss yeye kajaribu kuna watu hata ujumbe hawajawahi kugombea ili ndo wañaongea.
Alicho nifurahisha ni kujaribu na kudhubutu.

kabisa yaani ameweza hope 2020 atapita MUNGU YUPO cha msingi ni kutokata tamaa
 
Jamani tusubiri na huyo dadake wema anaishi usa anataka kugombea kinondoni,kweli tumeishiwa viongozi.
 
Ingekua mwaka 2010 ingekua rahisi sana aisee hzi skendo nazo chanzo. Kuna watu walishajipanga mda mrefu kweli kweli.
Hata ychaguzi wa mwaka uu ni mgumu kuliko miaka yote hata ukishinda wanakuja kuangalia idadi ya wabunge.
Mwaka uu ni mgumu kwa vyama vyote no short cut.
 
kabisa yaani ameweza hope 2020 atapita MUNGU YUPO cha msingi ni kutokata tamaa
Aanze kujijenga kichama zaidi ili kuweka mizizi. Mi huwa namkubali sana mtu mwenyewe udhubutu. Tena sasa aanze kujiepusha na miskendo.
 

diva beyonce umesoma mchezo vizuri hata mgombea huyu wa urais sisiem anajihofia na huko bungen ndo patashika upinzan wamecharuka i see litakua bunge la mseto na hapo ndipo kaz zitafanyika kwa displine.
 
Ha ha ha wamemnyoosha muheshimiwa Sepetu.......!Nampongeza hata kwa hzo kura 90 maana ni nyingi mno maana bidada hakujipanga kisawasawa la sivyo angeleta ushindani wa hali ya juu.Asikate tamaa bali atangaze nia safari ijayo.
 
thats it....apunguze show off,skendo na aingie rasmi UWT km ana nia atafika tuu
Tena sio kwake tu hata kwa wasanii wote na watu wakawaida wakiwa wanafanya vtu wafikirie pia future zao kuna skendo unaweza zifanya zikaja kukuharibia future carrier ya mtu. Still ana nafasi ya kujipanga vyema zaidi. Atafika.
 
Tena sio kwake tu hata kwa wasanii wote na watu wakawaida wakiwa wanafanya vtu wafikirie pia future zao kuna skendo unaweza zifanya zikaja kukuharibia future carrier ya mtu. Still ana nafasi ya kujipanga vyema zaidi. Atafika.

kweli usemayo
mtu km uwoya eti viti maalum nae ndo wale wale,thea nae au steve na wastara daahhh
hapana wanapaswa wabadilike kwanza ndo wagombee
 
Wema na ubunge wap na wap akaendelee kudanga tu hana jipya ajipange sanaa
 

Chezeya maguful wewe, angekuwa lowasa angepita
 
Itakua hajijui kua yeye hana nyota bali aba gundu 2....nyota inayo chibu na bado watanyooka 2 mwaka huu,kweli nimeamini hana akili sasa kadinda n petit nao wanawake ndio walikua wapiga debe wke

Jaman mama ubaya, ina maana hata followers wake hawakumpigia kura? Instagram anaongoza kwa wafuasi wengi ila kwenye kura kawa wa mwisho yani nacheka hapa kama sina akili nzuri, leo nadhan mama ubaya atakuwa analia tu siku nzima na kama alihonga vijisent alivyohongwa mbona itakula kwake kwi kwi kwi kwi kwi arudi bongo movie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…