Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
ameen nkishindwa ntawaambia maana si mchezo...!!
Mwenyezimungu atakufanyia wepesi...Ila chonde chonde nanunuu Usilivalile kutetea gesi yetu isitoke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ameen nkishindwa ntawaambia maana si mchezo...!!
Wema matimu yake yamemuangusha.Wema akae chini aangalie aue team zote awe neutral anaweza kuja kuwa mwanasiasa mzuri mameneja wamsaidie kumuongoza vzr ataweza kufanikiwa bado binti mdg
Team yake imevamia insta inashambulia diamond vibaaya
Mwenyezimungu atakufanyia wepesi...Ila chonde chonde nanunuu Usilivalile kutetea gesi yetu isitoke.
Mi naona kajitaidi na kajaribu ingawa Watu wana mu diss yeye kajaribu kuna watu hata ujumbe hawajawahi kugombea ili ndo wañaongea.Hongera wema umejaribu umeweza
Mi naona kajitaidi na kajaribu ingawa Watu wana mu diss yeye kajaribu kuna watu hata ujumbe hawajawahi kugombea ili ndo wañaongea.
Alicho nifurahisha ni kujaribu na kudhubutu.
Ingekua mwaka 2010 ingekua rahisi sana aisee hzi skendo nazo chanzo. Kuna watu walishajipanga mda mrefu kweli kweli.huyu si nyaturuline..hahaa kiboko ya wema!sema nin wema alikua ana pupa sana unatakiwa usome mchezo ndipo uingie sasa yy alikurupuka na misifa ya ig..eti nyota nyota ya mihogo kuliwa na wanafunzii...pyee waache wazawa wanaojua mitaa..vitongoji..kata zote watumikie..huyu arud tu kwenye vigodoro vyakee hehee...teamwema am solee
Aanze kujijenga kichama zaidi ili kuweka mizizi. Mi huwa namkubali sana mtu mwenyewe udhubutu. Tena sasa aanze kujiepusha na miskendo.kabisa yaani ameweza hope 2020 atapita MUNGU YUPO cha msingi ni kutokata tamaa
Ingekua mwaka 2010 ingekua rahisi sana aisee hzi skendo nazo chanzo. Kuna watu walishajipanga mda mrefu kweli kweli.
Hata ychaguzi wa mwaka uu ni mgumu kuliko miaka yote hata ukishinda wanakuja kuangalia idadi ya wabunge.
Mwaka uu ni mgumu kwa vyama vyote no short cut.
thats it....apunguze show off,skendo na aingie rasmi UWT km ana nia atafika tuuAanze kujijenga kichama zaidi ili kuweka mizizi. Mi huwa namkubali sana mtu mwenyewe udhubutu. Tena sasa aanze kujiepusha na miskendo.
Tena sio kwake tu hata kwa wasanii wote na watu wakawaida wakiwa wanafanya vtu wafikirie pia future zao kuna skendo unaweza zifanya zikaja kukuharibia future carrier ya mtu. Still ana nafasi ya kujipanga vyema zaidi. Atafika.thats it....apunguze show off,skendo na aingie rasmi UWT km ana nia atafika tuu
Tena sio kwake tu hata kwa wasanii wote na watu wakawaida wakiwa wanafanya vtu wafikirie pia future zao kuna skendo unaweza zifanya zikaja kukuharibia future carrier ya mtu. Still ana nafasi ya kujipanga vyema zaidi. Atafika.
Kumbe kushika mkia sio shuleni tu hadi CCM ipo. Wema Thepetu kashika mkia maskini, ila hata mi ningeshaa kama angepita, ningeona Tanzania ina watu wa ajabu kweli, yaani hadi machangudoa tuwapigie kura kuingia mjengoni?! Hiyo haikubaliki, machangudoa mwisho wao Insta, Front Page za magazeti pendwa na kuuza sura kwenye TV, ila kuingia mjengoni ni big NOOOO!!!!
Itakua hajijui kua yeye hana nyota bali aba gundu 2....nyota inayo chibu na bado watanyooka 2 mwaka huu,kweli nimeamini hana akili sasa kadinda n petit nao wanawake ndio walikua wapiga debe wke