miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Kabisa kuanzia kwa Uraisi hali ni tete kabisa hamna uchaguzi mgumu ka uu CCM ilikuaga mteremko sana sio wakati uuuui na wananchi washasema wanatakà wabunge wengi wa upinzani.diva beyonce umesoma mchezo vizuri hata mgombea huyu wa urais sisiem anajihofia na huko bungen ndo patashika upinzan wamecharuka i see litakua bunge la mseto na hapo ndipo kaz zitafanyika kwa displine.
Irene bado sijajua kilichojiri lakini Steve kura za maoni bado...
Tatizo misukule yake ya insta imemtia ukichaa eti ana nyota angeambulia kura 90 ***** nyoo yeye aendelee kuuza nyapu tu maana ndio hobby yake leo nimefurah sana
hhhaahhhaaa...nimetia nia ila mi nasubiri asilimia za chama chetu...!!
Kabisa kuanzia kwa Uraisi hali ni tete kabisa hamna uchaguzi mgumu ka uu CCM ilikuaga mteremko sana sio wakati uuuui na wananchi washasema wanatakà wabunge wengi wa upinzani.
Tena wakati uu wale wabunge wa ndioo wataisha usipotetea wananchi lazma ile kwako.
Unajua image yao ya ma skendo imewaharibia sana hata wangebebwa na mbeleko wangechafua image ya chama bure mana mwaka uu ni pagumu mno.kweli usemayo
mtu km uwoya eti viti maalum nae ndo wale wale,thea nae au steve na wastara daahhh
hapana wanapaswa wabadilike kwanza ndo wagombee
hhhhahhhaaaahhhaaaaaaAAA....tumpe hongera bwana ameweza kujaribuBinamu wapi mama ubaya, twende tukampe pole muheshimiwa hewa
Yani na BVR watu wanavozisubiria kwa hamu kuna wengi tu watakatwa aisee watu wajiandae kisaikolojia.yaani huu mwamko wa bvr wa mwaka huu si wa kitotoz..magamba yajipangez moto umewaka kila mtu kasanda my dia
Unajua image yao ya ma skendo imewaharibia sana hata wangebebwa na mbeleko wangechafua image ya chama bure mana mwaka uu ni pagumu mno.
Iwe fundisho na kwa wengine kwenye matendo yao,eti hadi Steve Nyerere waliona chama tawala ni mteremko tu naona kukwatwa kulianzia Dodoma.
Yani na BVR watu wanavozisubiria kwa hamu kuna wengi tu watakatwa aisee watu wajiandae kisaikolojia.
Wale waliona ni Ku rahisi simply ua star then ubunge kiurahisi, wakati kuna wenzao wamekitumikia chama na wanafahamika. Kweli kuna wenyewe hvi vyama.wale wamechanga karata vibaya...CCM si kukurupuka tu hv ndo wakupe uongozi..ina wenyewe ile tena mpk wakuamini kuanzia MIAKA 5 uitumikie kikamilifu ndo watakifkria sio umekurpuka eti fomu..utasanda tuu
Ahahha warumi nimerudi rasmi katika ubora wangu
Kumbe kushika mkia sio shuleni tu hadi CCM ipo. Wema Thepetu kashika mkia maskini, ila hata mi ningeshaa kama angepita, ningeona Tanzania ina watu wa ajabu kweli, yaani hadi machangudoa tuwapigie kura kuingia mjengoni?! Hiyo haikubaliki, machangudoa mwisho wao Insta, Front Page za magazeti pendwa na kuuza sura kwenye TV, ila kuingia mjengoni ni big NOOOO!!!!
Yani wakati uu watu wanajiandikisha kwa fujo mweeh mi nimeji sacrifice Mpaka nimepata kitambulisho changu, kinacho nifurahisha vijana wamejitoa kweli kweli zamani ilikua watu wazima tu wanaojiandikisha. Tabia ya wabunge wa mipasho lazma iishe bungeni heshima irudi.na umoja ni nguvu tufanye kweli wakati ni huu bibie...tupate vichinjio mapema kura yako inaeza fanya mamboz na kubadilisha mamluki kama kina mama ubayaz..teh teh change ni wewe
Yani wakati uu watu wanajiandikisha kwa fujo mweeh mi nimeji sacrifice Mpaka nimepata kitambulisho changu, kinacho nifurahisha vijana wamejitoa kweli kweli zamani ilikua watu wazima tu wanaojiandikisha. Tabia ya wabunge wa mipasho lazma iishe bungeni heshima irudi.