Safari ya Wema kuelekea bungeni yaishia UWT

diva beyonce umesoma mchezo vizuri hata mgombea huyu wa urais sisiem anajihofia na huko bungen ndo patashika upinzan wamecharuka i see litakua bunge la mseto na hapo ndipo kaz zitafanyika kwa displine.
Kabisa kuanzia kwa Uraisi hali ni tete kabisa hamna uchaguzi mgumu ka uu CCM ilikuaga mteremko sana sio wakati uuuui na wananchi washasema wanatakà wabunge wengi wa upinzani.
Tena wakati uu wale wabunge wa ndioo wataisha usipotetea wananchi lazma ile kwako.
 
Tatizo misukule yake ya insta imemtia ukichaa eti ana nyota angeambulia kura 90 ***** nyoo yeye aendelee kuuza nyapu tu maana ndio hobby yake leo nimefurah sana

warumi bwahaaa unishindi yaan ni hivi leo naumwa jaman ningekunywa mi alcohol kufurahia hili tukio...!wee acha tu
 
Kabisa kuanzia kwa Uraisi hali ni tete kabisa hamna uchaguzi mgumu ka uu CCM ilikuaga mteremko sana sio wakati uuuui na wananchi washasema wanatakà wabunge wengi wa upinzani.
Tena wakati uu wale wabunge wa ndioo wataisha usipotetea wananchi lazma ile kwako.

yaani huu mwamko wa bvr wa mwaka huu si wa kitotoz..magamba yajipangez moto umewaka kila mtu kasanda my dia
 
kweli usemayo
mtu km uwoya eti viti maalum nae ndo wale wale,thea nae au steve na wastara daahhh
hapana wanapaswa wabadilike kwanza ndo wagombee
Unajua image yao ya ma skendo imewaharibia sana hata wangebebwa na mbeleko wangechafua image ya chama bure mana mwaka uu ni pagumu mno.
Iwe fundisho na kwa wengine kwenye matendo yao,eti hadi Steve Nyerere waliona chama tawala ni mteremko tu naona kukwatwa kulianzia Dodoma.
 
yaani huu mwamko wa bvr wa mwaka huu si wa kitotoz..magamba yajipangez moto umewaka kila mtu kasanda my dia
Yani na BVR watu wanavozisubiria kwa hamu kuna wengi tu watakatwa aisee watu wajiandae kisaikolojia.
 
Unajua image yao ya ma skendo imewaharibia sana hata wangebebwa na mbeleko wangechafua image ya chama bure mana mwaka uu ni pagumu mno.
Iwe fundisho na kwa wengine kwenye matendo yao,eti hadi Steve Nyerere waliona chama tawala ni mteremko tu naona kukwatwa kulianzia Dodoma.

wale wamechanga karata vibaya...CCM si kukurupuka tu hv ndo wakupe uongozi..ina wenyewe ile tena mpk wakuamini kuanzia MIAKA 5 uitumikie kikamilifu ndo watakifkria sio umekurpuka eti fomu..utasanda tuu
 
Yani na BVR watu wanavozisubiria kwa hamu kuna wengi tu watakatwa aisee watu wajiandae kisaikolojia.

na umoja ni nguvu tufanye kweli wakati ni huu bibie...tupate vichinjio mapema kura yako inaeza fanya mamboz na kubadilisha mamluki kama kina mama ubayaz..teh teh change ni wewe
 
wale wamechanga karata vibaya...CCM si kukurupuka tu hv ndo wakupe uongozi..ina wenyewe ile tena mpk wakuamini kuanzia MIAKA 5 uitumikie kikamilifu ndo watakifkria sio umekurpuka eti fomu..utasanda tuu
Wale waliona ni Ku rahisi simply ua star then ubunge kiurahisi, wakati kuna wenzao wamekitumikia chama na wanafahamika. Kweli kuna wenyewe hvi vyama.
 
Matokeo ya uwoya, keisha, wastara n.k nayo yakoje??😅😅😅
 
Kumbe kushika mkia sio shuleni tu hadi CCM ipo. Wema Thepetu kashika mkia maskini, ila hata mi ningeshaa kama angepita, ningeona Tanzania ina watu wa ajabu kweli, yaani hadi machangudoa tuwapigie kura kuingia mjengoni?! Hiyo haikubaliki, machangudoa mwisho wao Insta, Front Page za magazeti pendwa na kuuza sura kwenye TV, ila kuingia mjengoni ni big NOOOO!!!!

Mmmh!!am just passng through.
 
Hyo steve akipata ubunge sijui , silipend hili jamaa mxieeew
Steve kamwe hato pita kabisa Ubunge una hitaji kutumika siyo kukurupuka...! Aanze kutumika vilivyo!
 
na umoja ni nguvu tufanye kweli wakati ni huu bibie...tupate vichinjio mapema kura yako inaeza fanya mamboz na kubadilisha mamluki kama kina mama ubayaz..teh teh change ni wewe
Yani wakati uu watu wanajiandikisha kwa fujo mweeh mi nimeji sacrifice Mpaka nimepata kitambulisho changu, kinacho nifurahisha vijana wamejitoa kweli kweli zamani ilikua watu wazima tu wanaojiandikisha. Tabia ya wabunge wa mipasho lazma iishe bungeni heshima irudi.
 
Hongera kwa kujiandikisha binamu
 
Back
Top Bottom