spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Na mlivowafanyia MAOVYOVYO sjui kama watawasaidiaYanga anaweza kukaza tu, sema kumaliza kwenye nafasi mbili za juu bado ni kitendawili kwao.Bado akiwin game zake mbili inabidi kuomba pia Mazembe amfanyie wepesi kwa Mc Alger tabu tupu
Next game Yanga akifanya iwe do or die anatoboa lakini hatujui pia kama mwarabu atakufa kwa mkapa.Hizi hesabu ni ngumu manNa mlivowafanyia MAOVYOVYO sjui kama watawasaidia
MKUU KUSHINDA GAME MBILI CHAMPIONS LEAGUE SIO MCHEZO ILA TUTAPAMBANANlichanganya mambo kiongozi nimeshaweka hesabu sawa
Dah hesabu za mpira kuna muda zinakupa wenge.Kuna hesabu unafanya unaona hapa nafuzu gafla hesabu inakataa tena inabidi kurudia.Sema hesabu nyepesi ni Yanga kuwin tu hakuna zaidi hapa.MKUU KUSHINDA GAME MBILI CHAMPIONS LEAGUE SIO MCHEZO ILA TUTAPAMBANA
si lazima adhinde zote kumbuka yanga na CR b mwaka jana head to head ndy iliamua matokeoYanga ashinde zote ndio atoboe.
Mnadhani MC ALGERS ni Mazembe iliyooza? Nyie hapo ndio mwisho mtajitutumua Sana lakini "."Nikusahihishe kolo, MC alger game ya mwisho anamaliza kwa mkapa na yanga
Gusa achia twende kwao yanga anatakiwa ashinde game mbili zilizobaki bila kujali matokeo ya wengine anafuzu
Hapo hakuna head to head.si lazima adhinde zote kumbuka yanga na CR b mwaka jana head to head ndy iliamua matokeo
Al hilal anampiga TP Mazembe na kujihakikisha nafasi ya kwanza. Kwa hivyo kwa vyovyote yuko namba Moja.Al hilal hawawezi kukubali kumaliza nafasi ya pili hata kidogo kwanini? Kwasababu watakutana na timu ngumu kama al ahly,esperance n.k so mechi dhidi ya yanga watataka washinde au wasare wajihakikishie nafasi ya kwanza.
Kumbuka wakipigwa tatu bila halafu yanga akampiga mc algiers yanga anaweza kuongoza kundi kumbuka game ya mwisho watakuwa away na tp.
Waarabu kwa namna wanavyocheza yanga acheze kweli kwa mkapa ili ashinde.
Atahakikisha anampiga yanga nyumbani kwake mauritania ili akienda congo akale nyani tu na kucheza bolingo.Al hilal anampiga TP Mazembe na kujihakikisha nafasi ya kwanza. Kwa hivyo kwa vyovyote yuko namba Moja.
mfano yanga ikidrow na ibenge,yanga atakuwa na point 5.Hapo hakuna head to head.
Yanga anapoint 4. Akishinda Moja na kudraw Moja anakuwa na point 8.
Alger akimpiga Mazembe atafikisha point 8 pia. Hiyo mechi ya draw manaake inakuwa Yanga na Alger. Alger anakuwa na point 9.
Lazima ashinde zote
Jamaa halina uelewa! Kwa akili yake anafikri imebaki game moja! Kazi kweli kweliLigi bado
Acha nyege mshindo
Two games remaining Kwa kila timu
Rage ajengewe mnara amefuga mandondocha wengi sana,,kama Mc alger angeshinda ndio ingekuwa mwisho wa yanga but katoa sare Ina maana bado nafasi ya pili Iko wazi kwa hizo timu 2, na yanga akimkaanga Al hilal ambae keshafuzu na akamtandika Mc alger anafuzu mapema tu bila kuangalia matokeo ya alger na mazembeGood Bye Yanga !! Mpaka mwakani.
Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki 😃😃 Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,
Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba
View attachment 3193688
Yanga akishamchapa Al hilal ambae 98% keshafuzu na akimtandika Mc alger kwa mkapa biashara inakuwa imekwisha ata Mc alger akimfunga mazembe inakuwa aiwasaidii chochote yanga anafuzu!Yanga anaweza kukaza tu, sema kumaliza kwenye nafasi mbili za juu bado ni kitendawili kwao.Bado akiwin game zake mbili inabidi kuomba pia Mazembe amfanyie wepesi kwa Mc Alger tabu tupu