Morning Madam, unaendeleaje??Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.
Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki ππ Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,
Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba
View attachment 3193688
Haya matumaini ya Yanga kushindwa na wewe bado unayo kama mgonjwa wa ngoma?Yanga wanajipa matumaini kama mgonjwa wa ngoma
KOLO MUHAN.Hakuna hata mechi moja kati ya zilizosalia ambazo Utopolo watashinda. MC Alger siyo timu ya kitoto. Uzoefu ni kwamba wana uwezo wa kufunga hata ugenini. Sasa kwa mabeki wale wachovu akina Bacca mjiandae kisaikolojia mkipanda zinapigwa counters imooo. Kwa Al Hilal ndio msahau kabisa. Ibenge kama kuwaachia atawaachia Wakongomani wenzake na siyo nyie. Kiuwezo Al Hilal wameizidi Utopolo mbingu na ardhi hamuwawezi.
NdiyooooooooHaya matumaini ya Yanga kushindwa na wewe bado unayo kama mgonjwa wa ngoma?
Hv hakunaga button ya kufuta nyuzi mbovu kama hizi!!?Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.
Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki ππ Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,
Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba
View attachment 3193688
Naomba unioneshe hayo matusi niliyotaja na kukuleteaHuna akil unatuletea matusi kwenye ulimwengu wawatu waliostarabika
Bahati nzuri hukuweka wazi mnafuzu group gani na linajihusisha na niniYanga tunafuzu
Hilal hawezi malizia group bila kipigwa