Safari ya Yanga kuishia kwenye makundi?, Mc Alger na Al Hilal zitasonga mbele Robo fainali?

Safari ya Yanga kuishia kwenye makundi?, Mc Alger na Al Hilal zitasonga mbele Robo fainali?

Wawakilishi wa Tanzania Bado Wana nafasi ya kufuzu ila wanahitaji concentration kali sana kwenye michezo yao
 
Mazembe ananafasi na yeye.
Anayo, ashinde mechi zake kisha Yanga atoe droo na Alger halafu akafungwe na Hilal. Alger atabaki na p6, Yanga p5 na Mazembe p8.
 
Wakati yanga anashinda mechi zote mbili ili afuzu hao wengine watakua wameganda kama masanamu!!!!! Hizi akili ni za kiutopo sana.
 
Back
Top Bottom