Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Yanga wanajipa matumaini kama mgonjwa wa ngoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa nilichopost?Wamebakiza Miche mbili tu, yuko sahihi
Umeandika ligi bado badala ya hatua za makundi, (group stages)Umeelewa nilichopost?
Pamoja sana..!!Naitunza hii na nitakukumbusha kila wakikamilisha mchezo mmoja
Maneno makali mkuuTatizo Yanga ugenini ni mabwabwa tu na usikute hata nyumbani wakafilwa pia, hawa jamaa ni mabwabwa mno kimataifa. Mze Mpili anawadanganya sana.
Mazembe ananafasi na yeye.Bado kundi lipo wazi, Yanga akishinda mechi zake halafu ikawa hivi ikawa vile, tuka, waka inapita.
Anayo, ashinde mechi zake kisha Yanga atoe droo na Alger halafu akafungwe na Hilal. Alger atabaki na p6, Yanga p5 na Mazembe p8.Mazembe ananafasi na yeye.
Si makali, nasema tu ukweli usiotakiwa na wana YangaManeno makali mkuu
sawaHapa kwa Mkapa mtapata sare mkijitahidi. Kule Mauritania kwa Al Hilal mtapasuka vibaya.
Wewe binti acha shobo mm Nina mke.Acha matusi ya kimaku wewe mngese. Kuwa mstaarabu. Matusi sio mahala pake hapa.
Una uhakika kuwa huyo ni binti?Wewe binti acha shobo mm Nina mke.
Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.
Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki 😃😃 Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,
Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba
View attachment 3193688
Mkuu punguz makasiliko🤫🤫Wewe binti achana n kuchambua Mpira kachambue maharage uweke jikoni.
Shuzi lilisikika likinenaGood Bye Yanga !! Mpaka mwakani.
Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki 😃😃 Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,
Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba
View attachment 3193688
Huna akil unatuletea matusi kwenye ulimwengu wawatu waliostarabikaSi makali, nasema tu ukweli usiotakiwa na wana Yanga
NDIYO. AMEFUNGWA JANA SEBULENI KWAKE. UNASEMAJE SASA BABA Dillish ?Ibeñge umfunge sebuleni kwake? Thubutuu