Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
Dah tena kwa goli nyingi huku akifanya maombi yasiyo na ukom😵therwise watepewa mkono wa kwaheriNdo maana nasema Yanga shortcut nzuri ni mazembe kumtuliza Alger.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah tena kwa goli nyingi huku akifanya maombi yasiyo na ukom😵therwise watepewa mkono wa kwaheriNdo maana nasema Yanga shortcut nzuri ni mazembe kumtuliza Alger.
Sasa ana win game mbili halafu amuombe Tp Mazembe amfanyie wepesi ili iweje? Walati hapo kuwin tu mechi mbili ni tiketi ya Yanga kufuzuYanga anaweza kukaza tu, sema kumaliza kwenye nafasi mbili za juu bado ni kitendawili kwao.Bado akiwin game zake mbili inabidi kuomba pia Mazembe amfanyie wepesi kwa Mc Alger tabu tupu
Yanga ashinde game zake zote,anapitaNdo maana nasema Yanga shortcut nzuri ni mazembe kumtuliza Alger.
Wewe binti achana n kuchambua Mpira kachambue maharage uweke jikoni.Yanga kimataifa bado. Ila kadiri wanavyoshiriki watazidi kupata uzoefu. Au tuombee Singida big stars iingie kwenye mashindano ya kimataifa na kupangwa kundi moja na Yanga.
Sasa yanga akishinda zote maana yake alger ataishia point nane wakati yanga atakua na kumiDah tena kwa goli nyingi huku akifanya maombi yasiyo na ukom😵therwise watepewa mkono wa kwaheri
Hao wana payuka huku hesabu hawapigi ili mradi tu kuonesha hesabu haziibebi YangaSasa yanga akishinda zote maana yake alger ataishia point nane wakati yanga atakua na kumi
Upo sawa, Ingawa Alger ana nafasi zaidi kuliko Yanga.Yanga akishinda mechi zake wala haihataji ikawa hivi, ikawa vile kwasababu automatically Mc Alger watakuwa wamepoteza point 3
Nlichanganya madesa kidogo hapa Yanga akiwin game mbili anafuzu anakuwa na 10 huku Mc Alger anabaki na point 5 au 8 kutegemea game yao na Mazembe piaSasa ana win game mbili halafu amuombe Tp Mazembe amfanyie wepesi ili iweje? Walati hapo kuwin tu mechi mbili ni tiketi ya Yanga kufuzu
Acha matusi ya kimaku wewe mngese. Kuwa mstaarabu. Matusi sio mahala pake hapa.Wewe binti achana n kuchambua Mpira kachambue maharage uweke jikoni.
Kabisa. Ye Yanga ashinde mechi zake tu.Nlichanganya madesa kidogo hapa Yanga akiwin game mbili anafuzu anakuwa na 10 huku Mc Alger anabaki na point 5 au 8 kutegemea game yao na Mazembe pia
Nilichanganya mambo hapa.Yeah akiwin anakuwa na kumi ambazo Mazembe na Mc Alger hawatafikia.Sasa yanga akishinda zote maana yake alger ataishia point nane wakati yanga atakua na kumi
Nakuamuru kuanzia sasahivi acha kufatilia mpiraAl hilal bado hajafuzu maana yake Yanga/ Mc Alger wanauwezo wa kumfikia (Wanauwezo wa kuongoza kundi) shughuli bado Mbichi hii
Kila la heri Mc AlgiersLigi bado
Acha nyege mshindo
Two games remaining Kwa kila timu
Yanga kama akidroo na Al Hilal then akishinda na MC ushindi wa tofauti ya goli tatu anafuzu.Upo sawa, Ingawa Alger ana nafasi zaidi kuliko Yanga.
Yanga ina p4. Alger ina p5. Point zilizobaki ni 6. Alger anahitaji 4 na Yanga anahitaji 6. Akizikosa hizo 4 basi aingie kwenye hesabu za Yanga kupoteza au kudraw kutegemeana na katika hizo 4 kapoteza ngapi. Yanga yeye hana option zaidi ya kumfunga Alger na Hilal.
Mkuu kwanini ulikimbia hesabu darasani ? Yanga akishinda game zake mbili hamtegemei mtu anapita moja kwa moja, mbona hakuna CALCULUS hapo imekushindaje hesabu ya kutoa na kujumlisha mkuu ?Yanga anaweza kukaza tu, sema kumaliza kwenye nafasi mbili za juu bado ni kitendawili kwao.Bado akiwin game zake mbili inabidi kuomba pia Mazembe amfanyie wepesi kwa Mc Alger tabu tupu
Nlichanganya mambo kiongozi nimeshaweka hesabu sawaMkuu kwanini ulikimbia hesabu darasani ? Yanga akishinda game zake mbili hamtegemei mtu anapita moja kwa moja, mbona hakuna CALCULUS hapo imekushindaje hesabu ya kutoa na kujumlisha mkuu ?