Safari yako ndefu kuendesha gari bila kupumzika ni ipi?

Mi naona ni Dar-Mbeya ndio parefu ila muda mzuri ni kuendesha usiku aisee. Hamna kusumbuana na mtu uwe na energy drink na macho makavu tu
shida ya kuendesha usiku ni vicheche na madereva wazembe , unaeza ukawa upo vizuri ukaja kusababishiwa ajali na mzembe aliyesinzia ,
Usiku ni safi kuendesha ila njia isiwe busy
 
Njia hainaga magari siku za siku za sikukuu tu. Kuhusu vicheche ni msala 😂😂😂 kuomba Mungu tu. Sema mie huwa napendaga kupiga taa za ishara nijue aliye mbele kama kalala au yuko macho.

Akijibu najua yuko vizuri😂😂😂 ila akiwa kimya nampishia mbali ya chaki with minimal speed.
 
Vicheche ndio nini. Wale nguchiro wanaovuka barabara usiku?
Kwani wanaleta shida gani, au ukimgonga unaweza pinduka.
 
Halafu mimi nikiendeshaga usiku, mfano napotoka Bunju kwa demu wangu narudi Makongo Juu...

Napopishana na magari, ule mwanga wa Headlights huwa ukinipiga machoni, nashindwa kabisa kuona mbele.

Sasa najiuliza nitaweza kweli kusafiri usiku kwenda kwetu Mwanza!
 
Kwa hali hiyo utoboi mahali.unachotakiwa kufanya usiwe unatazama gari linalokuja mbele yako direct,unatakiwa utizame chaki ya barabara ya kushoto kwako uku unaibia kinamna hilo gari linalokuja mbele yako.Ata mimi uko nyuma nilikua nateseka sana hadi nilipokuja kupewa hiyo mbinu.Ila siku hizi kuna miwani za kichina yangu nilinunua elfu 60 unaivaa unamwaga moto kama mchana.
 
Iko siku yatakukuta tu ya kukuta. Kuwa makini na kusafiri usiku. Pia energy drink ni kitulizo cha muda. Uchovu unabaki pale pale.
Kusafiri usiku ni kizuri ila uwe unaijua barabara vizuri.tatizo jingine la usiku ni malori,malori mengi taa za nyuma haziwaki na hayana reflector.Usipokua makini unaweza kujikuta nyuma ya teller.
 
Vicheche ndio nini. Wale nguchiro wanaovuka barabara usiku?
Kwani wanaleta shida gani, au ukimgonga unaweza pinduka.
Vicheche ni malori yale yenye "flatbed" trailer huwa yakifa njiani usiku sio rahisi kuyaona na mara nyingi hawanaga ishara zaidi ya kutandaza majani! Kama limekufa sehemu isio salama kama kwenye kona kali unaweza ukalivagaa parapanda ikalia chap😂😂😂
 
Kwa hali hiyo utoboi mahali.unachotakiwa kufanya usiwe unatazama gari linalokuja mbele yako direct,unatakiwa utizame chaki ya barabara ya kushoto kwako uku unaibia kinamna hilo gari linalokuja mbele yako.Ata mimi uko nyuma nilikua nateseka sana hadi nilipokuja kupewa hiyo mbinu.Ila siku hizi kuna miwani za kichina yangu nilinunua elfu 60 unaivaa unamwaga moto kama mchana.
Hahahahah hio mbinu ya kuangalia chaki inaokoa sana jahazi 😂😂😂 sema nielekeze wanakouza hio miwani ninunue. Taa za booster kichef chef sana
 
Kuna siku nilikuwa naendesha maeneo ya ulyampiti karibu na Manyoni i think saa 5 usiku nilikutana na lori limetanua balaa naenda service road lina kuja tu mbona nilivamia kichaka sikuumia japo bampa la mbele liliharibika tangu siku ile sijaendesha usiku tena
 
Safari ndefu za kanda ya ziwa lazima uanze usiku bila hivyo utakula vyeti vya kutosha Sana
Kuna siku nlianza asubuhi nlifika musoma na fain za laki na ishirini siku hizi hata nianze saa ngapi ninajua kila kipande cha hii njia. Sehemu nyingi hasa singida dom wameondoa vibao vya 50 vya kuingilia na wanatega kwenye vya kutokea wanakupiga toch
 
shida ya kuendesha usiku ni vicheche na madereva wazembe , unaeza ukawa upo vizuri ukaja kusababishiwa ajali na mzembe aliyesinzia ,
Usiku ni safi kuendesha ila njia isiwe busy
Night driving inahitaji umakini wa hali ya juu sana poa prediction muda wote
 
Njia hainaga magari siku za siku za sikukuu tu. Kuhusu vicheche ni msala [emoji23][emoji23][emoji23] kuomba Mungu tu. Sema mie huwa napendaga kupiga taa za ishara nijue aliye mbele kama kalala au yuko macho.

Akijibu najua yuko vizuri[emoji23][emoji23][emoji23] ila akiwa kimya nampishia mbali ya chaki with minimal speed.
Hakuna kitu sikipendi kama tabia yako mkuu kumflash mtu usiku ni tabia mbaya sana mkuu taa zinakera basi tu
 
Kuna siku nlianza asubuhi nlifika musoma na fain za laki na ishirini siku hizi hata nianze saa ngapi ninajua kila kipande cha hii njia. Sehemu nyingi hasa singida dom wameondoa vibao vya 50 vya kuingilia na wanatega kwenye vya kutokea wanakupiga toch
Hatari sana
 
Back
Top Bottom