Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
- Thread starter
-
- #41
Huo mwanga mtu akipiga full na wewe piga full atleast uweze kuongeza distance ya kuona ila wakati huo concwntrate na line ya katikati hakikisha hauko karibu nayo wala mbali nayo. Huku ukiwa very conscious na viraka hasa tyre ya kushoto mkuu. Ila vinginevyo mtu akija na full light usiku huwa tuna assume tu huku ukijianda kwa kishindoHalafu mimi nikiendeshaga usiku, mfano napotoka Bunju kwa demu wangu narudi Makongo Juu...
Napopishana na magari, ule mwanga wa Headlights huwa ukinipiga machoni, nashindwa kabisa kuona mbele.
Sasa najiuliza nitaweza kweli kusafiri usiku kwenda kwetu Mwanza!
Mi huwa nakuwa na wasiwasi gari mabovu kuyaingiaKwa hali hiyo utoboi mahali.unachotakiwa kufanya usiwe unatazama gari linalokuja mbele yako direct,unatakiwa utizame chaki ya barabara ya kushoto kwako uku unaibia kinamna hilo gari linalokuja mbele yako.Ata mimi uko nyuma nilikua nateseka sana hadi nilipokuja kupewa hiyo mbinu.Ila siku hizi kuna miwani za kichina yangu nilinunua elfu 60 unaivaa unamwaga moto kama mchana.
Agiza aliexpress bai ndogo tu elf kumiHahahahah hio mbinu ya kuangalia chaki inaokoa sana jahazi [emoji23][emoji23][emoji23] sema nielekeze wanakouza hio miwani ninunue. Taa za booster kichef chef sana
Vicheche ni magari mabovu yaliyopata breakdown , mara nyingi huwa hayana alama yoyote!Vicheche ndio nini. Wale nguchiro wanaovuka barabara usiku?
Kwani wanaleta shida gani, au ukimgonga unaweza pinduka.
Hio ni kama alarm mkuu kuna mijinga inasinziaga juu ya uskani😂😂😂Hakuna kitu sikipendi kama tabia yako mkuu kumflash mtu usiku ni tabia mbaya sana mkuu taa zinakera basi tu
The best trick unapopivwa full beeam ni kuangalia mstari kama ulivyosema , mara nyingi anayekupiga full anakuwa na advantage ya yeye kuona vizuri kushinda wewe, so unaweza kujikuta kwenye scenario unapigwa full na yet unahamia upande wake anakuhonga na unaonekana wewe nduo mwenye makosa ya wrong site ,Huo mwanga mtu akipiga full na wewe piga full atleast uweze kuongeza distance ya kuona ila wakati huo concwntrate na line ya katikati hakikisha hauko karibu nayo wala mbali nayo. Huku ukiwa very conscious na viraka hasa tyre ya kushoto mkuu. Ila vinginevyo mtu akija na full light usiku huwa tuna assume tu huku ukijianda kwa kishindo
Hapa kuna Tangawizi ya kutosha.Nimeendesha gari zaidi ya maili 1300, one way, masaa 24 mfululizo wakati wa winter USA. Kusimama ni gas stops only. Halafu nikarudi tena, same route, same distance, nilisimama kujaza mafuta tu.
Usipokamatwa gachuma,kirumi Basi IPO siku magu patakuzingua. Kuwa lakini sanaSirari to Mwanza nikiendesha gari ya mirungi
Nlinusurika kulaza gari siku natoka mwanza kwenda tarime kwenye daraja la kirumi unapoingia kuna kona mm nliingia mzima halafu kuna vikorogeshen mshenzi kidogo kona ikataeUsipokamatwa gachuma,kirumi Basi IPO siku magu patakuzingua. Kuwa lakini sana
So ulikuwa huli mzee??? Au ndo kwenye hizo gas stops???Nimeendesha gari zaidi ya maili 1300, one way, masaa 24 mfululizo wakati wa winter USA. Kusimama ni gas stops only. Halafu nikarudi tena, same route, same distance, nilisimama kujaza mafuta tu.
Arusha-Mbeya na Mwanza -Mbeya au Kilimanjaro -Mbeya hizo safari ni dume hata ukiwa na nyimbo 1000 zitaisha zitaanza upya hujafika...Mi naona ni Dar-Mbeya ndio parefu ila muda mzuri ni kuendesha usiku aisee. Hamna kusumbuana na mtu uwe na energy drink na macho makavu tu
Labda hizo nyimbo ziwe ringtones.Arusha-Mbeya na Mwanza -Mbeya au Kilimanjaro -Mbeya hizo safari ni dume hata ukiwa na nyimbo 1000 zitaisha zitaanza upya hujafika...
Ila kuna madereva wengine hawanaga uungwana kabisa, either kwakutokufahamu ama kwa makusudi mtu unamflash lakini yeye kangangania full afu mitaa kama ya treni, mi nikishaonaga hivi ni mguu kati tu nanyunyiza mpaka nitakapopita ndio nakiwasha tena.The best trick unapopivwa full beeam ni kuangalia mstari kama ulivyosema , mara nyingi anayekupiga full anakuwa na advantage ya yeye kuona vizuri kushinda wewe, so unaweza kujikuta kwenye scenario unapigwa full na yet unahamia upande wake anakuhonga na unaonekana wewe nduo mwenye makosa ya wrong site ,
Ukipigwa beam usihangaike kuangalia taa za gari iliyokupiga we angalia chini kwenye baranara , mstari kama upo laIma utaonekana .