Safari yako ndefu kuendesha gari bila kupumzika ni ipi?

Ila kuna madereva wengine hawanaga uungwana kabisa, either kwakutokufahamu ama kwa makusudi mtu unamflash lakini yeye kangangania full afu mitaa kama ya treni, mi nikishaonaga hivi ni mguu kati tu nanyunyiza mpaka nitakapopita ndio nakiwasha tena.
Kuna viraka tyre ya kushoto ama lami imebomoka inshort huwa ni wakati mgimu sana
 
Dah lita 5 [emoji28][emoji28]
 

Dar-Iringa-Dar siku moja
 
Nimeendesha gari zaidi ya maili 1300, one way, masaa 24 mfululizo wakati wa winter USA. Kusimama ni gas stops only. Halafu nikarudi tena, same route, same distance, nilisimama kujaza mafuta tu.
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…