Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Morogoro - Dom uwe mwangalifu aisee, kile kipande sio cha kunyoosha goti kihivyoWana JamiiForums. Leo nmeondoka Dar asubuhi saa 12:00 nikitoka home Tabata Segerea. Nipo peke yangu gari ninayotumia ni Harrier Old Model CC 3000 Six Cylinder.
So far gari inafunguka vizuri sana na ni nzito inatulia barabarani muda huu nimepita Bwawani.
Nimeendesha kwa mwendo wa Chama na Serikali lakini umenishinda kabisa.wa sehemu nyingine eti unapiga 50 mara sijui hakuna ku over take wale wanaondesha mwendo wa 2G au 3G. Mwendo wa kinyonga.
Kiukweli nimeshindwa hasa baada ya kuna haya ma VX yananipangua tu eti sababu yana namba za Serikali. Nimeona inawezekana mimi nisifike basi nami nmeanza kuyaungia tela tunaenda sambamba bampa to bampa.
Mpaka sasa sijapata bahati ya kukamatwa na traffic ila kuna mmoja alijaribu Chalinze mi nikanyoosha tu mguu huku nimewasha full na hazard.
Nanyoosha mguu mpaka 170 lengo ni kumaliza kile kimzunguko maana hizi gari tunakaa nazo sana Dar mpaka unaweza jikuta kile kigauge cha kusomea speed kinapata kutu maana kinaishia 100 mpaka 120 kwa safari za Dar.
Nitawapa feedback nikifika Morogoro. Kama kuna mtoto mzuri Morogoro anambie angalau nisuuze macho.
Naendelea na safari ila niseme kuendesha gari kwa mwendo elekezi ni ngumu sana.
UPDATES CHINI
Wana JamiiForums. Leo nmeondoka Dar asubuhi saa 12:00 nikitoka home Tabata Segerea. Nipo peke yangu gari ninayotumia ni Harrier Old Model CC 3000 Six Cylinder.
So far gari inafunguka vizuri sana na ni nzito inatulia barabarani muda huu nimepita Bwawani.
Nimeendesha kwa mwendo wa Chama na Serikali lakini umenishinda kabisa.wa sehemu nyingine eti unapiga 50 mara sijui hakuna ku over take wale wanaondesha mwendo wa 2G au 3G. Mwendo wa kinyonga.
Kiukweli nimeshindwa hasa baada ya kuna haya ma VX yananipangua tu eti sababu yana namba za Serikali. Nimeona inawezekana mimi nisifike basi nami nmeanza kuyaungia tela tunaenda sambamba bampa to bampa.
Mpaka sasa sijapata bahati ya kukamatwa na traffic ila kuna mmoja alijaribu Chalinze mi nikanyoosha tu mguu huku nimewasha full na hazard.
Nanyoosha mguu mpaka 170 lengo ni kumaliza kile kimzunguko maana hizi gari tunakaa nazo sana Dar mpaka unaweza jikuta kile kigauge cha kusomea speed kinapata kutu maana kinaishia 100 mpaka 120 kwa safari za Dar.
Nitawapa feedback nikifika Morogoro. Kama kuna mtoto mzuri Morogoro anambie angalau nisuuze macho.
Naendelea na safari ila niseme kuendesha gari kwa mwendo elekezi ni ngumu sana.
UPDATES CHINI
Mkuu nami jana nikitoka msibani Kilimanjaro nikiwa na LAV 4 jamaa akaniambia tangulia, kweli nilifanya hivyo na kati ya Moshi na njia panda nilisimamishwa na traffic sehemu tatu bila sababu ya maana na kitu hicho kiliendelea mpaka na fika usawa wa Makuyuni ndipo jamaa yangu akanipita kwa speed yao pendwa ya VX na akaniambia nimfuate nyuma
Nashukuru nilitembea mwendo wake mpaka nilipofika Dar na kila niliposimamishwa na traffic niliwajibu tupo safari moja na lile VX mbele yangu na sikupata mkeka wala jamvi njia nzima kisa VX namba za kiraia tu sio lazima ziwe STL au STK
LAV 4?? Huna cha miguu minne kaa utulie tu.Mkuu nami jana nikitoka msibani Kilimanjaro nikiwa na LAV 4 jamaa akaniambia tangulia, kweli nilifanya hivyo na kati ya Moshi na njia panda nilisimamishwa na traffic sehemu tatu bila sababu ya maana na kitu hicho kiliendelea mpaka na fika usawa wa Makuyuni ndipo jamaa yangu akanipita kwa speed yao pendwa ya VX na akaniambia nimfuate nyuma
Nashukuru nilitembea mwendo wake mpaka nilipofika Dar na kila niliposimamishwa na traffic niliwajibu tupo safari moja na lile VX mbele yangu na sikupata mkeka wala jamvi njia nzima kisa VX namba za kiraia tu sio lazima ziwe STL au STK
piga miwa mpaka chuma ipige chafya
yaani namshangaa komeo la chuma kusema ananyoosha mguu...kwa abrabara zipi kwanza! Dah so sad'SPEED KILLS,KILL YOUR SPEED.'View attachment 1565888View attachment 1565889
Umeweza kuandika huku unaendesha mkuuWana JamiiForums. Leo nmeondoka Dar asubuhi saa 12:00 nikitoka home Tabata Segerea. Nipo peke yangu gari ninayotumia ni Harrier Old Model CC 3000 Six Cylinder.
So far gari inafunguka vizuri sana na ni nzito inatulia barabarani muda huu nimepita Bwawani.
Nimeendesha kwa mwendo wa Chama na Serikali lakini umenishinda kabisa.wa sehemu nyingine eti unapiga 50 mara sijui hakuna ku over take wale wanaondesha mwendo wa 2G au 3G. Mwendo wa kinyonga.
Kiukweli nimeshindwa hasa baada ya kuna haya ma VX yananipangua tu eti sababu yana namba za Serikali. Nimeona inawezekana mimi nisifike basi nami nmeanza kuyaungia tela tunaenda sambamba bampa to bampa.
Mpaka sasa sijapata bahati ya kukamatwa na traffic ila kuna mmoja alijaribu Chalinze mi nikanyoosha tu mguu huku nimewasha full na hazard.
Nanyoosha mguu mpaka 170 lengo ni kumaliza kile kimzunguko maana hizi gari tunakaa nazo sana Dar mpaka unaweza jikuta kile kigauge cha kusomea speed kinapata kutu maana kinaishia 100 mpaka 120 kwa safari za Dar.
Nitawapa feedback nikifika Morogoro. Kama kuna mtoto mzuri Morogoro anambie angalau nisuuze macho.
Naendelea na safari ila niseme kuendesha gari kwa mwendo elekezi ni ngumu sana.
UPDATES CHINI
Yaani kwahizi barabara zenye mabonde jaman Bora mwisho 100ila kusema kweli vibao vya hamsini vinakela kuna sehem imenyooka unatamani ukanyage sema 50 inazingua
😷LAV 4?? Huna cha miguu minne kaa utulie tu.