BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 6,410
- 13,052
Mkuu nami jana nikitoka msibani Kilimanjaro nikiwa na LAV 4 jamaa akaniambia tangulia, kweli nilifanya hivyo na kati ya Moshi na njia panda nilisimamishwa na traffic sehemu tatu bila sababu ya maana na kitu hicho kiliendelea mpaka na fika usawa wa Makuyuni ndipo jamaa yangu akanipita kwa speed yao pendwa ya VX na akaniambia nimfuate nyuma
Nashukuru nilitembea mwendo wake mpaka nilipofika Dar na kila niliposimamishwa na traffic niliwajibu tupo safari moja na lile VX mbele yangu na sikupata mkeka wala jamvi njia nzima kisa VX namba za kiraia tu sio lazima ziwe STL au STK
Mkuu makuyuni Si ipo Arusha huku mpakani na Manyara sasa Njia ya moshi Dar imefata nini ????