mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,144
[emoji2][emoji2][emoji2] Ofa za mimi kama boss wa hapa Tinde mnadani unaweza kushangaa ni Balimi tu mwanzo mwisho.Au boss unataka kunipa ofa!?[emoji39]
[emoji2][emoji2][emoji2] Ofa za mimi kama boss wa hapa Tinde mnadani unaweza kushangaa ni Balimi tu mwanzo mwisho.Au boss unataka kunipa ofa!?[emoji39]
Mitaa yangu niliyokulia hioo daah.Utanikuta chillers nakusubiria☺..Tena leo wknd bonge la bang hapa
Basi Mimi ndo jiwe langu nikitaka kurefresh mind.Mitaa yangu niliyokulia hioo daah.
Supa .Kumekucha Sana huko ntarudisha majeshi soon.Nshachoka kazi ya kupiganisha mijusi.Uwe na siku njema.Basi Mimi ndo jiwe langu nikitaka kurefresh mind.
Alikufa wa alitoka salamaDadreki, halafu huyo jamaa namjua asee
Like seriously?
Mwambieni huyu, tutaona Uzi hauendelei. Morogoro Dodoma ni majanga matupu hasa kwa gari ndogo, anaweza kuliingia hata Semi akatuchafulia Barabara. Hata hivyo safari njema na karibu sana utatupita sehemu sehemu tunashangaaMorogoro - Dom uwe mwangalifu aisee, kile kipande sio cha kunyoosha goti kihivyo
BUKUMBILINIMADEREVAWAHIACEKWAGARIYAKEINABIDIATOETANOATAKATIZAKWASPIDITUMIKOAYOTE. MAANAKWASPIDIHIZOZA50ATAISHIAKULALAHOTELINISINGIDAWAKATIANGETOAHIZOBUKUTANOTANOANGEFIKALEOHIIHIIMbonakamabukutanokubwasanamkuu?nadhanachenjichenjubukumbiliziwetanoujuekahamambali!
Ndo foto hizi ukiwa unadrive? Eti?
Aisee nimetua kahama jana kutokea Dar!Chillers napaelewa sana,huwa napata sana kilaji pale nikiwa kahama!Ila kuna siku nikajichanganya nikawasha fegi,wajomba wakanitoa nje na grants yangu ikataifishwa juu kwa juu!Utanikuta chillers nakusubiria☺️..Tena leo wknd bonge la bang hapa
Wana JamiiForums. Leo nmeondoka Dar asubuhi saa 12:00 nikitoka home Tabata Segerea. Nipo peke yangu gari ninayotumia ni Harrier Old Model CC 3000 Six Cylinder.
So far gari inafunguka vizuri sana na ni nzito inatulia barabarani muda huu nimepita Bwawani.
Nimeendesha kwa mwendo wa Chama na Serikali lakini umenishinda kabisa.wa sehemu nyingine eti unapiga 50 mara sijui hakuna ku over take wale wanaondesha mwendo wa 2G au 3G. Mwendo wa kinyonga.
Kiukweli nimeshindwa hasa baada ya kuna haya ma VX yananipangua tu eti sababu yana namba za Serikali. Nimeona inawezekana mimi nisifike basi nami nmeanza kuyaungia tela tunaenda sambamba bampa to bampa.
Mpaka sasa sijapata bahati ya kukamatwa na traffic ila kuna mmoja alijaribu Chalinze mi nikanyoosha tu mguu huku nimewasha full na hazard.
Nanyoosha mguu mpaka 170 lengo ni kumaliza kile kimzunguko maana hizi gari tunakaa nazo sana Dar mpaka unaweza jikuta kile kigauge cha kusomea speed kinapata kutu maana kinaishia 100 mpaka 120 kwa safari za Dar.
Nitawapa feedback nikifika Morogoro. Kama kuna mtoto mzuri Morogoro anambie angalau nisuuze macho.
Naendelea na safari ila niseme kuendesha gari kwa mwendo elekezi ni ngumu sana.
UPDATES CHINI
Huyo jamaa aliyepata ajali hapa ulikuwa unafahamiana nae!? Nmemfananisha!!'SPEED KILLS,KILL YOUR SPEED.'View attachment 1565888View attachment 1565889
Mwambieni huyu, tutaona Uzi hauendelei. Morogoro Dodoma ni majanga matupu hasa kwa gari ndogo, anaweza kuliingia hata Semi akatuchafulia Barabara. Hata hivyo safari njema na karibu sana utatupita sehemu sehemu tunashangaa
Aisee nimetua kahama jana kutokea Dar!Chillers napaelewa sana,huwa napata sana kilaji pale nikiwa kahama!Ila kuna siku nikajichanganya nikawasha fegi,wajomba wakanitoa nje na grants yangu ikataifishwa juu kwa juu!
Leo nitakuwepo hapo kupata mziki wa live band!!!!!!!
BUKUMBILINIMADEREVAWAHIACEKWAGARIYAKEINABIDIATOETANOATAKATIZAKWASPIDITUMIKOAYOTE. MAANAKWASPIDIHIZOZA50ATAISHIAKULALAHOTELINISINGIDAWAKATIANGETOAHIZOBUKUTANOTANOANGEFIKALEOHIIHII
Hahaa kazi ya kupiganisha misuli ndo ipi mkuuSupa .Kumekucha Sana huko ntarudisha majeshi soon.Nshachoka kazi ya kupiganisha mijusi.Uwe na siku njema.
Naona wenyeji wa mirembe wana muenzi member wao wa kudumu.Wadau nimeingia DODOMA MJINI. NMESIKITIKA SANA KUNA SOKO KUBWA ZURI LIMEPEWA JINA LA NDUGAI. WHY WASINGEMPA SAMWELI SITTA?