Pablo 119
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 1,520
- 1,969
[emoji1787][emoji1787] ni raha sanamkuu unapenda ligi sana inaonekana Haha ha ba
[emoji1787][emoji1787] ni raha sanamkuu unapenda ligi sana inaonekana Haha ha ba
mbona umefika jioni sana mjomba?Nimefika Singida. Kama kuna watoto wa kinyiramba hapa tusalimiane sisi wanajamiiforums ni ndugu.
Chillers pa kiwaki tu,tena kuna malaya wachafu....kitu ze foxUtanikuta chillers nakusubiria[emoji3526]..Tena leo wknd bonge la bang hapa
Nenda ze fox wewe...chillar pa kiwaki sanaaAisee nimetua kahama jana kutokea Dar!Chillers napaelewa sana,huwa napata sana kilaji pale nikiwa kahama!Ila kuna siku nikajichanganya nikawasha fegi,wajomba wakanitoa nje na grants yangu ikataifishwa juu kwa juu!
Leo nitakuwepo hapo kupata mziki wa live band!!!!!!!
Mbn buku mbil kubwa pia.chenji buku buku mzee zinawtosha saanMbonakamabukutanokubwasanamkuu?nadhanachenjichenjubukumbiliziwetanoujuekahamambali!
Kama we ni mtu wa kula safari lager,basi ukiwa kanda ya ziwa.. balimi ndo mbadala wakeHahahahahahaha jamani balimi watu huku wanaipendaaa[emoji1787][emoji1787]so wanawake si wanaume[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!dah ..mkuu Bora tuagize k vant kubwa na coca Kama huna hela aisee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi kubang ndio kuvuta bangy au????Nimemis kubang jamani ..had nahis kuumwa[emoji1784]
Duu'SPEED KILLS,KILL YOUR SPEED.'View attachment 1565888View attachment 1565889
Eti 'LAV4[emoji849][emoji849][emoji849]
unamiliki hata baiskeli wewe?
Mmezidi uwongo humu em punguzeni basi. Mxiuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi kubang ndio kuvuta bangy au????
Sijawahi jaribu si kili lager Wala safari Wala lite aiseeKama we ni mtu wa kula safari lager,basi ukiwa kanda ya ziwa.. balimi ndo mbadala wake
Mkuu acha masikhara...buku??Mbn buku mbil kubwa pia.chenji buku buku mzee zinawtosha saan
Duh...ze fox Kuna vitoto vya 20's! Yaan watu wazima wakuhesabu ..mie hapo big noChillers pa kiwaki tu,tena kuna malaya wachafu....kitu ze fox
Yeah...Ila vinaringaaaaa🙌! Jaman jaman🙌🙌Wana vihudumu vizuri aisee!
Hahaha...dah🙌[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Balimi nilikuja kuikuta kanda ya Ziwa nilikua sijui kama kuna kitu kama hicho,tatizo la K-Vant Mshana Jr anasema in long run ina madhara 'flani flani' ngoja tupambanie Nyagi tu,hahah.
Dulihoi.
Yeah,vina nyodo sana!Sijui vinataka mpaka vionevumepaki mkoko waaana hapo nje?Yeah...Ila vinaringaaaaa🙌! Jaman jaman🙌🙌
Ohhh .,mie najihudumiaga nikiona wanaringa. .nilikuwepo hapo nishasepa...Yeah,vina nyodo sana!Sijui vinataka mpaka vionevumepaki mkoko waaana hapo nje?
Niko hapa tayari toka saa 2 nashusha mvinyo taratibu!