Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
- Thread starter
- #121
Nyoosha goti wewe acha uoga!
Mwaka 2002 nikifika Kahama kwa Mara ya kwanza na kukuta bango kimeandikwa "HAPA UKIMWI UPO"Mwambie pia HIV prevalence rate ni zaidi ya 4% na zana asisahau kuangalia expire date
kwanini unasimama sana?Kusimama kwingi sana....
Amekomaa na wewe kivip sasa wakati kila mtu na Safari zake?!Nmeambatana na Nissan NAVARA moja naona jamaa mbishi nmeingia hapa Cate Hotels kupata Bfast naye kaunga hapa hapa. Kanisalimia na kwenda kukaa na familia yake. Anasafiri na watu kadhaa nahisi ni watoto na wife. Jamaa amekomaa sana na mimi.
Sasa unakunywa nini?Sijawahi jaribu si kili lager Wala safari Wala lite aisee
Sijui siku hizi, mwaka jana ilikua mchanganyiko ...yaan ilikua ndo beach kidimbwi ya kahamaDuh...ze fox Kuna vitoto vya 20's! Yaan watu wazima wakuhesabu ..mie hapo big no
Smirnoff..reds..desperado.. wine,kvant mixer coca!Sasa unakunywa nini?
Anza kuonja Kili then safari/balimiSmirnoff..reds..desperado.. wine,kvant mixer coca!
Siziwezi kbs Kali mdomonAnza kuonja Kili then safari/balimi
Duh!'SPEED KILLS,KILL YOUR SPEED.'View attachment 1565888View attachment 1565889
Kumbe ulituona [emoji3][emoji3][emoji3]Niliwaona nyie mnachukua videos njiani ya gari yangu ili mje muoneshe kabla na baada...nmewashtukia. naendesha kwa umakini.....nyau nyie...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watoto wakali Kama uyo kwenye profile yk😍Hapa hapa mjini ...hapa ndo utawakuta watoto wakali mkuu..wewe tu na jicho lako
Ah wapi mkuu...nasemea vislei kwini!Watoto wakali Kama uyo kwenye profile yk😍