Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23


Itaendelea au imeishia hapa.
 
Hiyo Story yako ni kweli kabisa nadhani unavisa vingi ningependa usimulie watu wajifunze, maeneo karibu yote nilifika Bisi nilipanda sana , endelea mkuu, nakumbuka kipindi waasi wanaunda makundi yao Goma maporini kulikua na biashara ya kupeleka risasi ambazo ziliibwa Burundi na kwenda kuuzwa kama magendo ambapo zilifungwa kwa ustadi kwenye ndoo za mafuta ya kula na kuchanganywa na mafuta halisi watu walifanya wengine walikufa na wengine walipata pesa, bila shaka Goma ihusi hotel ulilala na wale vijana roundabout yenye sanamu la rangi ya gold wanaopiga picha na kusafisha hapo hapo uliwaona pia
 
Hili
 

Ndio hapo hapo ninapicha nilipiga kama kumbukumbu, ukweli Rwanda mtanzania anaogopwa sana wanahisi kila mmoja ni mpelelezi hivo wanakufuatilia hadi unapolala na kama unavuka nchi kama ulitiliwa shaka utapewa mtu kama abiria ahakikishe umevuka harakati za utafutaji ni ngumu sana basi tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…