Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

uyo ihusi ni tajiri wa pale Goma pia ana vituo vya mafuta(petrol stations).
nilishawai kufanya nae deal flani kupitia kampuni ya mzee wangu miaka ya 2000's.
kumbe wabongo waliofika mji wa Goma mpo,haaa,,safi sana.
 
Kwa uzoefu wangu kila ulichoandika hapa NI KWELI. Nimewahi kufika maeneo mengi uliyotaja.
 
Isome kwanza familia yako ujue wamefanikiwa mpaka wapi? Wewe ndio ukipite hiko kikomo chao cha kufanikiwa ili uchanje mbuga ufanikiwe zaidi

Africa ni familia yangu
Lete vyombo bro nitengeneze mafanikio kutoka kwa familia yangu AFRICA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…