Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Mkuu nmependa sana simulizi ila nmejiuliza tu hao samaki ambao hawajaoza safari yote hyo. Mie nmetoka nao tu hapo ferry kufika magomeni kwisha habari yao
 
Kuna mengi hapa Rwanda lakini kwakua sio mada ya Leo itoshe kusema ni Dunia tofauti sana. Tuishi bongo tu, amani inatosha .
Justine Marack Kama hutojali unaweza ifanya n SEHEMU ya hii stori kabla hujaendelea mbele Ili tuwe tunaunganisha dots huko mbele na kukupunguzia maswali.

Kifupi mie napenda kusafiri na safari zangu n za porini zile ngumu kifupi ninashauku kubwa sana ya kufika Congo hasa huko kwenye pesa (Lubumbashi, Goma na kivu) Kinshasa n kwenda kuosha macho tuu I hope nitalifanikisha Hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…