Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Tunaugua matarajio makubwa yasiyotimia baada ya kusota skuli kwa muda mrefu!!Tafuta msaada wa mwanasaikolojia ndugu yangu kuna kitu hakipo sawa kwenye afya yako ya akili.Fanya mapema kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
Du jamaa ana akili ndogo sana. Ni katapeli kenye akili fupi kuliko anaojaribu kuwatapeli.Ukiwa muongo usiwe msahaurifu ebu soma hapa yani mtu mmoja tarifa za huu uzi na huu kuna gaps kibao Acha uongo huu uzi O levo umesema umesoma shule X haya huu uzi hapa chini O levo unasema umesoma shule X nyingine hiyo moja kuna ukizani wa tarifa kibao ulichoandika kati ya huu uzi na huo uzi
Journey Yangu Kimasomo – Kutoka Mtaa Mpaka Masters ya Wildlife Management & Tourism USA, na bado sijajulikana!
familia ya JamiiForums, Wacha niwaweke sawa kidogo kuhusu safari yangu ya elimu – from the mud to the Masters, bila shortcut, bila kiki, bila kubebwa. I’ve been grinding in silence, and trust me this brain got WiFi – kila mtu niliwahi kufundisha anaeza testify, nikiingia darasani mtu anaglow up...www.jamiiforums.com
hatari kweli kweli. Jamaa ndani ya miezi tu kasahau kama alishatunga uwongo mwingine kwenye mada moja.Ukiwa muongo usiwe msahaurifu ebu soma hapa yani mtu mmoja tarifa za huu uzi na huu kuna gaps kibao Acha uongo huu uzi O levo umesema umesoma shule X haya huu uzi hapa chini O levo unasema umesoma shule X nyingine hiyo moja kuna ukizani wa tarifa kibao ulichoandika kati ya huu uzi na huo uzi
Journey Yangu Kimasomo – Kutoka Mtaa Mpaka Masters ya Wildlife Management & Tourism USA, na bado sijajulikana!
familia ya JamiiForums, Wacha niwaweke sawa kidogo kuhusu safari yangu ya elimu – from the mud to the Masters, bila shortcut, bila kiki, bila kubebwa. I’ve been grinding in silence, and trust me this brain got WiFi – kila mtu niliwahi kufundisha anaeza testify, nikiingia darasani mtu anaglow up...www.jamiiforums.com
Jamaa liongo kichz, kilasiku linatunga story za uwongoMimi ni mmoja wa wale ambao waliamini kwamba elimu ni mlango wa mabadiliko. Leo hii nimesimama kama mtu mwenye Master’s Degree kutoka University of California, Berkeley, moja ya vyuo vikongwe na vinavyoheshimika zaidi duniani. Lakini safari yangu haikuwa laini. Ilijaa milima na mabonde – lakini dhamira haikuyumba hata siku moja.
Nilikulia mtaa wa kawaida kabisa mjini Tabora, ambako ndoto nyingi hufa kabla ya kuota. Shule ya msingi nilisoma kwa viatu vilivyochakaa, mara nyingine bila hata ya kuwa navyo. Kilichonipa nguvu ni kiu ya kujua – intellectual curiosity ambayo haikuisha licha ya mazingira magumu.
Nilipomaliza shule ya msingi, nikajiunga na Msiriwa Secondary, shule iliyopo mkoani Kilimanjaro. Kule ndiko nilipojifunza maana ya nidhamu na uthubutu. Baada ya hapo nikapambana hadi nikapata nafasi ya kwenda kusoma Automotive Engineering na baadaye nikachukua Bachelor in Tourism Management kwa njia ya mtandao kutoka chuo cha Uingereza.
Lakini bado moyo wangu haukuridhika. Nilihisi kuna maarifa ya juu zaidi ambayo ningeyapata – advanced critical thinking, global policy perspectives, na uwezo wa kushindana kimataifa katika level ya juu. Ndio hapo nikaweka lengo la kupata Master's degree Marekani.
Kupata admission Berkeley haikuwa rahisi. Nilikaa masaa mengi nikijifunza namna ya kuandika Statement of Purpose, nilitafuta scholarships usiku na mchana, na nilijifunza kujiuza kwa barua za maombi – self-marketing skills ambazo wengi hatufundwi shuleni.
Nilifanikiwa. Nilipofika Marekani, nilikutana na watu kutoka mataifa zaidi ya 100. Nilijifunza research methodologies za hali ya juu, nikaelewa dhana ya policy implementation, systemic analysis, na sustainable development. Lakini kubwa zaidi – nilijifunza kujitambua kama mtu wa dunia, si wa mtaa tu.
Leo hii, nina uwezo wa kusimama mbele ya mabaraza ya kimataifa, kuchambua hoja kwa kina, na kupendekeza suluhisho lenye impact. Na yote haya yalianza kwenye udongo wa vumbi wa Tabora.
Nawaandikia haya ili kuwaambia – ndoto ni halali. Kama nilitoka huko nilikotoka na kufika hapa nilipo, basi hata wewe unaweza. Changamka, jifunze, tafuta fursa, jipush. Dunia ni yako kama utathubutu kuitafuta.
Kaka said kulazimishi kuniamini!Jamaa liongo kichz, kilasiku linatunga story za uwongo
Haaa haaahatari kweli kweli. Jamaa ndani ya miezi tu kasahau kama alishatunga uwongo mwingine kwenye mada moja.
Automotive ulisoma diploma?Kaka said kulazimishi kuniamini!