King yedidiah
Member
- Apr 4, 2023
- 52
- 178
- Thread starter
- #21
Wewe ni moja ya watu ulio ni inspire nikapime, naukumbuka uzi wako mkuu. Shukrani, kwa sasa nimeacha iyo michezoDah! Hamsikii tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni moja ya watu ulio ni inspire nikapime, naukumbuka uzi wako mkuu. Shukrani, kwa sasa nimeacha iyo michezoDah! Hamsikii tu?
Naomba Mungu huu uwe mwisho wa visa mkuu, maana kuishi na bila amani ni nusu ya kufa. Mungu anisaidie kwa kweliHongera, ukipata kisa kingine pia usisahau kukileta
Ngono Mara tendo la ndoaHuwezi kufanya ngono na mkeo halali wa ndoa.
Aise iyo sijawahi kuthubutu na wala sijawah kutana na dada poa aliyetaka 0712.. Kwanza kuna madhara makubwa hasa kwa mwanaume. Sema wengi wanapuuzia. Siwezi kamwe kuogelea maji ya mtaroni😁Mkuu hao madada poa hukuwahi chungulia 071? Maana ukianza kuijua hiyo tutegemeeee Uzi mwingine
Natumai kwa sasa umeacha mkuu, haya mambo kuna wakati tunaponea chupu chupu.. Kuokoka umefanya chaguo jema👏👏Nimekula mixa madada poa na wakawaida 1000+,Sina ngoma ,nimeokoka
Huwa zinapumbaza akili ya kichwa cha juu. Afu kakichwa kadogo kanachukua ufalmeNyege ni mbaya sana.
Ipo hivi kuna vitu inabidi wewe usikilize roho yako mimi binafsi si muhumini wakutumia kinga kabisa na kitu maradhi uwa sihofii hata chembe.Huyu kama anawavuta hivi et zote negative jichanganyeni ukigusa kavi imoo na gono juu
Tupime
kiherehere matrako yako hukutumwa utuelezee ulivokua unachezesha kiuno ww ungeukwaa kiherehere kingekuishaUlipoona kichwa cha habari hapo juu hukuwa na aja ya kuufungua huu uzi. Ni kihere here chako
Aise samahani nilipo ona neno "Matrako" ndo nmegundua wewe ni mtoto wa kike, huwa sibishani na watoto wa kike, nisamehe madamkihe
kiherehere matrako yako hukutumwa utuelezee ulivokua unachezesha kiuno ww ungeukwaa kiherehere kingekuisha
Hivi JF kuna mtu kashafungukaga kwamba yeye ana ngoma?
Wakati mwingine maisha huendeshwa na bahati, kuna mda moyo unakataa kabisa, imewah kunitokea pia, nipo lodge tena hakuwa dada poa, alikuwa pisi nzuri tu ila tokea tumefika tumepiga story ghafla moyo ukawa mzito kupiga nae show, kiukwel ilitokea vita kubwa kati ya nafsi na mwili kukubali kutokumla, mwisho wa siku nilijifanya napokea simu ya dharura mpaka leo sikuwahi kumla, na sikujua kwann moyo ulikuwa mzito sanaIpo hivi kuna vitu inabidi wewe usikilize roho yako mimi binafsi si muhumini wakutumia kinga kabisa na kitu maradhi uwa sihofii hata chembe.
Kuna ndugu yangu kabisaa yeye ni muhumini sana wa hizi kinga tukiwa tunapoza moyo na uwa ananishangaa sana, sasa sad story siku hiyo tupo wote tukakutana na demu mkali na anashepu nikamvaa mm kimasihara tu na vile pombe kichwani na yule demu alikuwa kama anastress fulan sikumuwekea maani sana inshort nahisi akanoti hyo kitu demu akatoa jb la dharau sn.
Yule ndugu yangu akavaa ujasiri kwa hasira akaenda kumla kwann hatuletee dharau binafsi mm niliishia kucheka na kwakuwa sikuwa na nia nae nkampotezea aisee kumbe jamaa kaenda kamla bila kinga asubuhi kaamka anakojoa damu na maumivu.
Aise kweli, kwa hili nasema ni Mungu tu.. Maana kwa asilimia zotr niliona dalili, yaan tena zinakuja kwa mpangilio kabisa, kinaanza hiki kinafuata hiki.. Huu kwangu umebaki ushuhuda, sio ujanja wangu aise..Shukuru Mungu umetoka salama, ngoma ipo vaa gwanda ujikinge...