Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
LENGO hapa ni wote tuone Kwa namna gani Safari za Elimu zinaathiri utendaji kazi wa vyombo hivi, na hii itatupa Mwanga kwenye Katiba Mpya, Watu wa aina gani waongoze Vyombo vyetu vya Usalama.
Mimi dakika ninaamini, Ujinga wa MTU yaan Uwezo wake Mdogo wa Akili huenda sambamba na Roho Mbaya na Matendo Maovu.
Ipo Hivi , Viongozi wengi hasa Hawa Wajuu wa vyombo vya Usalama, Wengi wao ELIMU ZAO ZILIKUA ZA KUUNGA UUNGA !!.
Ni kweli Wana miliki Vyetu vya Shahada, lakini je ni vyeti walivyopata Kihalali?. Maana ni ngumu sana Kwa MTU Mwerevu ,aliyesoma na akaelimika akawa na Matendo ya kiovu kama haya tunayoyashuhidia .
VIONGOZI Hawa wengi wao ni wale Walopata Division Four Enzi hizo.
Sikilizeni, kama tunawabunge ambao wamecheza na Taarifa zao za Kielimu na kujipachika Vyeti ,je Hawa wa vyombo vya Usalama watashindwa??.
Hawa viongozi wengi kama nilivyosema walifeli Kidato Cha Nne, baada ya hapo wakaanza KUUNGA UUNGA ,naamini Kuna wakati waliunga Kwa kununua Vyeti vya watu, kununua Vyeti kwenye vyuo vilivyokosa Uadilifu wa kitaaluma mpaka Wakamiliki Diploma.
Wakishapata Diploma, Wanakimbilia OPEN UNIVERSITY , huko Utaona wanasoma Shahada ya AWALI ya SHERIA , wengi wao wanaisoma hii Shahada Kwa sababu ni rahisi kwao kuipata na kwakua wanaisoma Open University baaasi wanatoa Hooongo Hatimaye Wanapewa Shahada .
Wachache wao wanaobahatika kusoma vyuo vikuu vinavyotambulika, huishia Kuhonga Wahadhiri wao ,yote Kwa yote wamiliko Vyeti vya Shahada.
Wengine huamua kukimbilia Kusoma nje ya Nchi au kusoma Nje ya Nchi Kwa njia ya Online .
Ndio Hizi Shahada Sasa wanakuja kuzitumia Wanapanda Vyeo Wanapanda Vyeo mpaka wanafikia Vyeo vya juu sana.
Je Hizi Shahada zao za Mchongo, ziliwaondolea UJINGA?? Je ziliondoa ukweli wa Safari Yao ya Kielimu kuanzia Kidato Cha Nne pale walipofeli??.
Unaweza jiuliza, Kwanini Hayati Magufuli alivyotaka Kukagua Vyeti vya Waajiriwa wa POLISI , alitishwa tishwa na Mwisho akaacha???
Ni ngumu sana kukuta Kiongozi wa Vyombo hivi, safari yake ya Kielimu ukakuta Imenyoooka vizuri bila wasiwasi.
Kwa Mfano.....Anagalieni Maushahidi wa Polisi kesi ya Mh LISSU, Elimu zao ni ovyoovyo sana, uongo na wizi wa kitaaluma, lakini ndio viongozi na wanazidi Kupandishwa Vyeo, kesho na kesho kutwa MTU anachaguliwa kua IGP.
SASA watu wa Aina hii, ambao wanajijua Safari zao za Kielimu hazikua za Haki, kwann wasiutegemee Uchawi na Uganga na Matumizi makubwa ya Nguvu kwenye Kazi zao??.
Watu wa Aina hii, ni lini watatenda kazi Kwa Mujibu wa PGO??.
Haya ndio unayakuta pia kwa TISS , Idara imejaa UVCCM, Uchawa n.k ila kukuta wamenyooka Elimu aaaahhh sio shida zao !!.
MOJA YA JAMBO BAYA LILOFIKISHA TAIFA HAPA, NI HAWA WAHUNI NLOWAELEZEA !!.
UJINGA NA ROHO MBAYA HUENDA SAMBAMBA !!.
Tukishaikomboa Nchi, ni lazima Mchujo ufanyike, TOP OFFICIALS WOTE WAWE NI WATU AMBAO ELIMU ZAO SIO ZA MASHAKA !!.