Safari za kuaga mwili mikoa mitano, wakuu wa Serikali wanapitisha madokezo?

Safari za kuaga mwili mikoa mitano, wakuu wa Serikali wanapitisha madokezo?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Najiribu kujiuliza

Safari hizi za kumuaga hayati katika mikoa mitano Dar es Salaam, Dodoma, Zanzibar, Mwanza na hatimaye Geita nani anagharamia?

Kuna madokezo yamepitishwa Serikali inagharamia posho au ni pesa za kutoka mifuko binafsi. Kama mnapisha madokezo,nani anadhibiti.

Nauliza kwa sababu kama mpaka safari za viongozi kwenda kuaga mwili zitagharamiwa na serikali basi mtaiacha hazina ikiwa nyeupe.
 
Binadamu hatosheki!!

Mliombea afe , bado mnataka nini tena?

Acha hazina iishe, una hasara gani wewe? Hamkosi cha kusema, tuacheni na serikali yetu, tumzike Hayati Rais wetu kipenzi cha watanzania, hizo hela kazikusanya yeye kwa juhudi zake, kelele za nini tena?

I wish ningekuwa kiongozi wa juu Sana nchi hii, basi tu !!
 
Pole mkuu kwa kuondokewa na rais wako.
 
Mnaona wivu hata Magu kuagwa? Mwambieni Lissu afe pia na yeye aje kuagwa.
Mkumbusheni tu akirudi saivi wala si TISS au polisi wakaye angaika naye, ni vijana tu mtaani, visu, bisibisi, shoka, panga zote zinaweza kuwa halali yake...
Mpepanic sana kwa kweli. Poleni sana. Lisu bado yupo sana. Mlimshindwa kwa risasi ndiyo mtamuweza kwa bisibisi? Landa mje na mizinga au fighter jets
 
Mnateseka sana serikali haijawai kuishiwa mapato kila siku yanaingia na yanatoka kwa matumizi. R I P JPM
 
I wish ningekuwa kiongozi wa juu Sana nchi hii, basi tu !!
Marehemu naye alikuwa na kauli kama hizi na akawa kweli rais watu wakaumia, wakapotea, wakauwa waliotofautiana naye. Na wewe inaonekana lengo lako ni kama yeye siyo uwe kiongozi usaidie watu bali upate raha katika kutesa watu.

Nasema hautakuwa kiongozi kamwe na ukiwa utakufa mdomo wazi madarakani. Maiti yako itatembezwa mtaani kama ya Samuel Doe. Sema Ameen.
 
Mnaona wivu hata Magu kuagwa? Mwambieni Lissu afe pia na yeye aje kuagwa.
Mkumbusheni tu akirudi saivi wala si TISS au polisi wakaye angaika naye, ni vijana tu mtaani, visu, bisibisi, shoka, panga zote zinaweza kuwa halali yake...
Aliekuwa anawapa baraka za kutekeleza hayo karma ishapita nae, nyie vidagaa sio lolote si chochote.
 
Waache watumie hela za wanyonge maana wanyonge wenyewe hawajielewi wanataka nini
... Mnyonge kuruhusiwa kuuza pipi stendi ya mabasi anashangilia kwa kelele na makofi mengi
.... Mnyonge huyohuyo akiambiwa achangie ujenzi wa madarasa analalamika maisha magumu na hela hana
Siku mnyonge akianza kujielewa, atajutia muda aliopoteza kuwashangilia wanasiasa wenye tabia za panya buku.... Anakung'ata anakupuliza
..... Tanzania Tanzania Tanzania....
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Mnaona wivu hata Magu kuagwa? Mwambieni Lissu afe pia na yeye aje kuagwa.
Mkumbusheni tu akirudi saivi wala si TISS au polisi wakaye angaika naye, ni vijana tu mtaani, visu, bisibisi, shoka, panga zote zinaweza kuwa halali yake...
Kama Mimi nitakuwa na hengo ajipange tu.
 
Kama alitumia nguvu kuijaza hazima acha pesa itumike uzima wake abane matumizi na sisi tubane mpaka hazina ikauke.
 
Daaah, watu wazima mmegeuka kama kundi la taarabu kucoment vijembe, jamani hebu tujaribu kuwa wamoja na tusamehe pale tulipoumizwa Mungu wetu ni mmoja watu wa lugha moja why tunatupiana matusi, nawahusia jamani sababu kilichotokea Rwanda nimekishuhudia kwa macho ingawa nilikuwa kijana mdogo,
 
Binadamu hatosheki!!

Mliombea afe , bado mnataka nini tena?

Acha hazina iishe, una hasara gani wewe? Hamkosi cha kusema, tuacheni na serikali yetu, tumzike Hayati Rais wetu kipenzi cha watanzania, hizo hela kazikusanya yeye kwa juhudi zake, kelele za nini tena?

I wish ningekuwa kiongozi wa juu Sana nchi hii, basi tu !!
Kama wapinzani wenyewe ndio hawa wenye akili kama hizi,hawa akina lema. Baasi bora tubaki na ccm tu aisee.yaani wana chuki na mtu toka akiwa hai mpk akiwa amekufa. Ni hatari sana hawa wapinzani
 
Najiribu kujiuliza

Safari hizi za kumuaga hayati katika mikoa mitano Dar es Salam, Dodoma, Zanzibar, Mwanza na hatimaye Geita nani anagharamia?

Kuna madokezo yamepitishwa serikali inagharamia posho au ni pesa za kutoka mifuko binafsi.

Nauliza kwa sababu kama mpaka safari za viongozi kwenda kuaga mwili zitagharamiwa na serikali basi mtaiacha hazina ikiwa nyeupe.
Wewe unaijua balance ya hazina?
Acheni wivu hadi kwa marehemu!

Nini kinawakera mkiona mtu wa watu akiagwa na wapendwa wake?

Shame on you!
 
Back
Top Bottom