voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,944
Mimi pia nina wazo kama lako!Kama Mimi nitakuwa na hengo ajipange tu.
Aje tumnyowe manyoya!
Mimi pia nina wazo kama lako!Kama Mimi nitakuwa na hengo ajipange tu.
Wewe nimekuelewa sana, asante kwa busara zako. Alicholeta mtoa mada ni kitu cha maana sana. Hakuna aliyekataa mzee Magufuli asizikwe kwa heshima. Ni kiongozi ni lazima aheshimiwe, lakini Nani anadhibiti madokezo watu wanayojiandikia? Kuna watu wanaandika night allowance hata wakiwa hawajatoka nje ya Kituo cha kazi kisa msiba.Daaah, watu wazima mmegeuka kama kundi la taarabu kucoment vijembe, jamani hebu tujaribu kuwa wamoja na tusamehe pale tulipoumizwa Mungu wetu ni mmoja watu wa lugha moja why tunatupiana matusi, nawahusia jamani sababu kilichotokea Rwanda nimekishuhudia kwa macho ingawa nilikuwa kijana mdogo,
Mbona umeandika kiroho mbayambaya flani vile chaliiMnaona wivu hata Magu kuagwa? Mwambieni Lissu afe pia na yeye aje kuagwa.
Mkumbusheni tu akirudi saivi wala si TISS au polisi wakaye angaika naye, ni vijana tu mtaani, visu, bisibisi, shoka, panga zote zinaweza kuwa halali yake...
Anadhibiti Lissu na Lema, haya nenda kajambe mbele hukooo...Wewe nimekuelewa sana, asante kwa busara zako. Alicholeta mtoa mada ni kitu cha maana sana. Hakuna aliyekataa mzee Magufuli asizikwe kwa heshima. Ni kiongozi ni lazima aheshimiwe, lakini Nani anadhibiti madokezo watu wanayojiandikia? Kuna watu wanaandika night allowance hata wakiwa hawajatoka nje ya Kituo cha kazi kisa msiba.
usipaniki mkuu twende taratibu,JF haitaki hasira ukileta hasira utapata ugonjwa wa moyo utakufa. Hamtaki hata tutetee rasilimali alizoacha marehemu? Kisha hizi hazikuwa mali zake binafsi ni mali za ummaBinadamu hatosheki!!
Mliombea afe , bado mnataka nini tena?
Acha hazina iishe, una hasara gani wewe? Hamkosi cha kusema, tuacheni na serikali yetu, tumzike Hayati Rais wetu kipenzi cha watanzania, hizo hela kazikusanya yeye kwa juhudi zake, kelele za nini tena?
I wish ningekuwa kiongozi wa juu Sana nchi hii, basi tu !!
Hao wanaokejeli na kushangilia huu msiba wana roho nzuri, narudia tena, si Polisi wala TISS watakayemshughulikia Lissu , ni vijana na wanyonge walioumizwa na huu msiba, ni bisibisi, visu, mapanga nk ambayo yatakuja kuwa halali yake, muda utasema...Mbona umeandika kiroho mbayambaya flani vile chalii
Mnaona wivu hata Magu kuagwa? Mwambieni Lissu afe pia na yeye aje kuagwa.
Mkumbusheni tu akirudi saivi wala si TISS au polisi wakaye angaika naye, ni vijana tu mtaani, visu, bisibisi, shoka, panga zote zinaweza kuwa halali yake...
Calm down mzee, dunia haitaki hasira, haraka wala papara. Kucheka na kulia ni sifa za uumbaji.Hao wanaokejeli na kushangilia huu msiba wana roho nzuri, narudia tena, si Polisi wala TISS watakayemshughulikia Lissu , ni vijana na wanyonge walioumizwa na huu msiba, ni bisibisi, visu, mapanga nk ambayo yatakuja kuwa halali yake, muda utasema...
Sio hasira, huu ndio uhalisia, ukicheza na mbwa atakufuata hadi nyumbani, sasa ni muda wa ulimwengu kutoa somo, lazima hizi kejeli na matusi kwa watanzania yaishe. Kama Mwamwindi aliweza kumfunza Kleruu watz hawawezi shindwa kumfunza kichaa mmoja na nyumbxxxxx wake.Calm down mzee, dunia haitaki hasira, haraka wala papara. Kucheka na kulia ni sifa za uumbaji.
Mpuuzi wewe watu wa mitaani wahangaike na Lisu kwa kitugani? Umesahau juice tu hapo kwenye uchaguzi mliwaita vijana toka mitaani ili wampigie kura magufuli siku kadhaa kabla ya uchaguzi? Siku ya uchaguzi kila msimamizi mkuu aliingia na kura za Indio za magufuli zilizopigwa tatar??? Au tukupe na ushahidi wa picha toka ofisi za ccm kinomdoni?Mnaona wivu hata Magu kuagwa? Mwambieni Lissu afe pia na yeye aje kuagwa.
Mkumbusheni tu akirudi saivi wala si TISS au polisi watayeangaika naye, ni vijana tu mtaani, visu, bisibisi, shoka, panga zote zinaweza kuwa halali yake.
Lisu siyo kichaa kichaa keshakufa huko?Sio hasira, huu ndio uhalisia, ukicheza na mbwa atakufuata hadi nyumbani, sasa ni muda wa ulimwengu kutoa somo, lazima hizi kejeli na matusi kwa watanzania yaishe. Kama Mwamwindi aliweza kumfunza Kleruu watz hawawezi shindwa kumfunza kichaa mmoja na nyumbxxxxx wake.
Hakika Bora umempashaMnaona wivu hata Magu kuagwa? Mwambieni Lissu afe pia na yeye aje kuagwa.
Mkumbusheni tu akirudi saivi wala si TISS au polisi watayeangaika naye, ni vijana tu mtaani, visu, bisibisi, shoka, panga zote zinaweza kuwa halali yake.
Asiyejua nyie wauaji ni nani?Mnaona wivu hata Magu kuagwa? Mwambieni Lissu afe pia na yeye aje kuagwa.
Mkumbusheni tu akirudi saivi wala si TISS au polisi watayeangaika naye, ni vijana tu mtaani, visu, bisibisi, shoka, panga zote zinaweza kuwa halali yake.
Jamaa kaandika kwa maslahi ya nchi wewe unaleta uchama hapa, hivi unawaza uchama tu Kila wakati?Mnaona wivu hata Magu kuagwa? Mwambieni Lissu afe pia na yeye aje kuagwa.
Mkumbusheni tu akirudi saivi wala si TISS au polisi watayeangaika naye, ni vijana tu mtaani, visu, bisibisi, shoka, panga zote zinaweza kuwa halali yake.
Ili iweje? Wakoloni wangekuwa na mawazo hayo sidhani kama kina Mandela, Nkurumah, Nyerere nk wangeweza kuishi hadi walipoishi. Wazungu walikuwa na mazingira yote ya kuwaangamiza wapigania uhuru wetu. Lakini hawakuwa wepesi kunyoosha mabunduki na kuwaua. Waafrika msiwe na roho za kishetani kiasi hicho kuua nafsi sio jambo rahisi hata mbele ya Mungu. Kutofautiana mawazo ni matokeo ya Kutofautiana akili, ndivyo dunia Mungu alivyoiumba.Sio hasira, huu ndio uhalisia, ukicheza na mbwa atakufuata hadi nyumbani, sasa ni muda wa ulimwengu kutoa somo, lazima hizi kejeli na matusi kwa watanzania yaishe. Kama Mwamwindi aliweza kumfunza Kleruu watz hawawezi shindwa kumfunza kichaa mmoja na nyumbxxxxx wake.