Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Panya road tu wanatoshaMnaona wivu hata Magu kuagwa? Mwambieni Lissu afe pia na yeye aje kuagwa.
Mkumbusheni tu akirudi saivi wala si TISS au polisi wakaye angaika naye, ni vijana tu mtaani, visu, bisibisi, shoka, panga zote zinaweza kuwa halali yake...
Pole mkuu kwa kuondokewa na rais wako.Binadamu hatosheki!!
Mliombea afe , bado mnataka nini tena?
Acha hazina iishe, una hasara gani wewe? Hamkosi cha kusema, tuacheni na serikali yetu, tumzike Hayati Rais wetu kipenzi cha watanzania, hizo hela kazikusanya yeye kwa juhudi zake, kelele za nini tena?
I wish ningekuwa kiongozi wa juu Sana nchi hii, basi tu !!
Mpepanic sana kwa kweli. Poleni sana. Lisu bado yupo sana. Mlimshindwa kwa risasi ndiyo mtamuweza kwa bisibisi? Landa mje na mizinga au fighter jetsMnaona wivu hata Magu kuagwa? Mwambieni Lissu afe pia na yeye aje kuagwa.
Mkumbusheni tu akirudi saivi wala si TISS au polisi wakaye angaika naye, ni vijana tu mtaani, visu, bisibisi, shoka, panga zote zinaweza kuwa halali yake...
Kwa Tz hii na kejeli zake alizotua, walimwengu watamfunza tu, muda utakuwa mwalimu mzuri kwake.Mpepanic sana kwa kweli. Poleni sana. Lisu bado yupo sana. Mlimshindwa kwa risasi ndiyo mtamuweza kwa bisibisi? Landa mje na mizinga au fighter jets
Marehemu naye alikuwa na kauli kama hizi na akawa kweli rais watu wakaumia, wakapotea, wakauwa waliotofautiana naye. Na wewe inaonekana lengo lako ni kama yeye siyo uwe kiongozi usaidie watu bali upate raha katika kutesa watu.I wish ningekuwa kiongozi wa juu Sana nchi hii, basi tu !!
Aliekuwa anawapa baraka za kutekeleza hayo karma ishapita nae, nyie vidagaa sio lolote si chochote.Mnaona wivu hata Magu kuagwa? Mwambieni Lissu afe pia na yeye aje kuagwa.
Mkumbusheni tu akirudi saivi wala si TISS au polisi wakaye angaika naye, ni vijana tu mtaani, visu, bisibisi, shoka, panga zote zinaweza kuwa halali yake...
Kama Mimi nitakuwa na hengo ajipange tu.Mnaona wivu hata Magu kuagwa? Mwambieni Lissu afe pia na yeye aje kuagwa.
Mkumbusheni tu akirudi saivi wala si TISS au polisi wakaye angaika naye, ni vijana tu mtaani, visu, bisibisi, shoka, panga zote zinaweza kuwa halali yake...
Hifadhi Uzi huu utakufaa baadae kwa kumbukumbu omba Mungu asirudi atabaki salama.Aliekuwa anawapa baraka za kutekeleza hayo karma ishapita nae, nyie vidagaa sio lolote si chochote.
Kama wapinzani wenyewe ndio hawa wenye akili kama hizi,hawa akina lema. Baasi bora tubaki na ccm tu aisee.yaani wana chuki na mtu toka akiwa hai mpk akiwa amekufa. Ni hatari sana hawa wapinzaniBinadamu hatosheki!!
Mliombea afe , bado mnataka nini tena?
Acha hazina iishe, una hasara gani wewe? Hamkosi cha kusema, tuacheni na serikali yetu, tumzike Hayati Rais wetu kipenzi cha watanzania, hizo hela kazikusanya yeye kwa juhudi zake, kelele za nini tena?
I wish ningekuwa kiongozi wa juu Sana nchi hii, basi tu !!
Wewe unaijua balance ya hazina?Najiribu kujiuliza
Safari hizi za kumuaga hayati katika mikoa mitano Dar es Salam, Dodoma, Zanzibar, Mwanza na hatimaye Geita nani anagharamia?
Kuna madokezo yamepitishwa serikali inagharamia posho au ni pesa za kutoka mifuko binafsi.
Nauliza kwa sababu kama mpaka safari za viongozi kwenda kuaga mwili zitagharamiwa na serikali basi mtaiacha hazina ikiwa nyeupe.
Aliyepanga na kuamuru kifo chake katangulia yeye, wewe ni Nani umpangie Mungu?Kwa Tz hii na kejeli zake alizotua, walimwengu watamfunza tu, muda utakuwa mwalimu mzuri kwake.