Safari za Maulid Kitenge mara kwa mara kulikoni?

galton

Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
80
Reaction score
126
Huyu jamaa mbona anasafiri sana nchi za watu? Kila siku ye yupo angani tu anabadilisha flights kama dala dala, mara UK, Sweden, south Africa, na mara nyingi zinakua safari binafsi, anapata wapi pesa zote hizo?
 
Huyu jamaa mbona anasafiri sana nchi za watu? Kila siku ye yupo angani tu anabadilisha flights kama dala dala, mara UK, Sweden, south Africa, na mara nyingi zinakua safari binafsi, anapata wapi pesa zote hizo?

Acheni tu leo hii ale hizo ' bata ' kwani tuliomjua tokea miaka hiyo akiwa ' mbwatukaji ' wa mambo ya mpira pale Uwanja wa Uhuru ilipo ile Baa maarufu ya kwa Chichi wala hatushangazi. Bila Mzee Charles Hillary Nkwanga bingwa wa kugundua vipaji vya Masuala ya Habari asingemuona pengine leo hii Maulid Kitenge sasa hivi angekuwa mpanga magari pale Shamba la Bibi ( uwanja wa Uhuru )
 
Nina ubuyu wake sijui niumwage tusherekee pasaka vizuri, lol
 
Jamaan wabongo vp

Huyo maulid ,,kibonde ,wamepata kaz dstv kwa siku za weekend kwenda kuchambua soka kwenye dstv kwa lugha ya kiswahili sasa kila ijumaa wanaenda south na jpili wanarud bongo kuendelea na kazi ,na dstv wanavuta mkwanja mrefu sana ,tuwape support ndugu zetu tusiwafikilie vibaya wanafanya kaz
 
Anapata wapi hela?? na je kama anapewa lifti tu mkuu
 
mambo ya efm hayo maana huko itv hakuwa na fursa ya kuzurura angani
 
Ila leo nimekua naye sehem na wala sio sauzi trust me am an ,,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…