Safari za Maulid Kitenge mara kwa mara kulikoni?

Safari za Maulid Kitenge mara kwa mara kulikoni?

Ah jamani tuache uongo Maulidi alianzia kama mwandishi wa gazeti zamani,gazeti lilikuwa linamilikiwa na NUTA kama sikosei liitwa Mfanyakazi alikuwa pamoja na Hemedi Kimwanga mwandishi wa muziki na Mzee James Nhende pamoja na mbunge mmoja kutoka jimbo moja mkoani mwanza jina nimelisahau,si kweli kwamba aliokotwa na Charles Hilary,akiwa gazeti la Mfanyakazi alikuwa akishiriki sana kipindi cha kiti moto kilichokuwa kinaendeshwa na Pascal Mayala
Kitenge huyu niliyemaliza nae mimi form four ndo awe mfanyakazi wa NUTA?
 
Back
Top Bottom