Safari za Maulid Kitenge mara kwa mara kulikoni?

Safari za Maulid Kitenge mara kwa mara kulikoni?

Wacha story za kijiweni wewe..umejuaje habari za Kitenge wakati by that time ulikuwa kwenu Kyabakari..Nonsense
Ha ha ha ha LIKUD inamaana miaka hiyo huyu jamaa alikuwa anauza ndizi kwenye Karai pale kiabakari stendi Barabarani kwenye Mteremko mkali wa kiabakari?🤣🤣🤣
 
Huyu jamaa mbona anasafiri sana nchi za watu? Kila siku ye yupo angani tu anabadilisha flights kama dala dala, mara UK, Sweden, south Africa, na mara nyingi zinakua safari binafsi, anapata wapi pesa zote hizo?
954e4bf10f9bbee65ee93bd8e73e493a.jpg
Si unaona kitambi cha muda hicho nasikia nae ni Punda Ila muda utasema kweli.
 
Hivi unaamini story za huyo pimbi? Huyo dar haijui anasimuliwa tu
Ah jamani tuache uongo Maulidi alianzia kama mwandishi wa gazeti zamani,gazeti lilikuwa linamilikiwa na NUTA kama sikosei liitwa Mfanyakazi alikuwa pamoja na Hemedi Kimwanga mwandishi wa muziki na Mzee James Nhende pamoja na mbunge mmoja kutoka jimbo moja mkoani mwanza jina nimelisahau,si kweli kwamba aliokotwa na Charles Hilary,akiwa gazeti la Mfanyakazi alikuwa akishiriki sana kipindi cha kiti moto kilichokuwa kinaendeshwa na Pascal Mayala
 
Fanya yako mkuu...maisha ya mtu mwingine ukiyajua itakusaidia nini ilimradi havunji sheria?
Wabongo hii Tabia ya kufuatiliana inanikera sana..na inaashiria jinsi tulivyo na roho mbaya..
Tena ndio maana tunaishia kua maskini hatuendelei
 
Nina ubuyu wake sijui niumwage tusherekee pasaka vizuri, lol
Raha ya JF Celebrities.

Ukibandikwa uzi, sio kuwa mtu anauliza kwamba hajui hataaaaa.

Inakuwa anataka kuwapa taarifa alizonazo ili mumuongezee.

Twende kazi .
But kijana mtoto wa mjini huyu, kijana wa Al-Haramain enzi hizo.
 
Waambie hao waliokudanganya kuhusu maisha ya awali ya Maulid Baraka wa Kitenge waendelee kukudanganya. Ukipata muda wako kimbia pale Uwanja wa Uhuru ilipo hiyo baa maarufu ya kwa Chichi halafu omba kuonana na Mama Chichi kisha mhoji vizuri kuhusu historia ya Kitenge enzi hizo akiwa hapo na ukishamalizana na Mama Chichi mtafute Kijana mmoja maarufu sana kwa upangaji wa Magari hapo Uwanja wa Uhuru na Taifa anaitwa Kambarage akupe kila kitu kwani yeye na Kitenge ndiyo walikuwa wabwabwaji wazuri mno wa mpira enzi hizo ila mwenzake akapata zali na yeye hadi sasa yupo hapo hapo akiendelea na ubwabwaji wake na uangalizi wa Gari za Watazamaji kuanzia hapo baa ya kwa Mama Chichi hadi kule ilipo baa ya Minazini.

Nimefunga rasmi mjadala wangu kuhusu Maulid Baraka Kitenge na kule alikotokea.
GENTAMYCINE!
 
Maulid Baraka Wa Kitenge[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Nina ubuyu wake sijui niumwage tusherekee pasaka vizuri, lol
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom