Safari za Maulid Kitenge mara kwa mara kulikoni?

Safari za Maulid Kitenge mara kwa mara kulikoni?

Huyu jamaa mbona anasafiri sana nchi za watu? Kila siku ye yupo angani tu anabadilisha flights kama dala dala, mara UK, Sweden, south Africa, na mara nyingi zinakua safari binafsi, anapata wapi pesa zote hizo?
954e4bf10f9bbee65ee93bd8e73e493a.jpg

Halafu simpendi huyu jamaa!
 
Huyu jamaa mbona anasafiri sana nchi za watu? Kila siku ye yupo angani tu anabadilisha flights kama dala dala, mara UK, Sweden, south Africa, na mara nyingi zinakua safari binafsi, anapata wapi pesa zote hizo?
954e4bf10f9bbee65ee93bd8e73e493a.jpg
Na wewe safiri mkuu ukijaji anapata wapi pesa huwez pata jibu
 
Jamaan wabongo vp

Huyo maulid ,,kibonde ,wamepata kaz dstv kwa siku za weekend kwenda kuchambua soka kwenye dstv kwa lugha ya kiswahili sasa kila ijumaa wanaenda south na jpili wanarud bongo kuendelea na kazi ,na dstv wanavuta mkwanja mrefu sana ,tuwape support ndugu zetu tusiwafikilie vibaya wanafanya kaz
Nae eddo kumwembe
 
Nilijua wivu uko kwa wapinzani tu dhidi ya serikal kumbe adi watu binafsi? Aiseee
 
Back
Top Bottom