Safari za Maulid Kitenge mara kwa mara kulikoni?

Huyu jamaa mbona anasafiri sana nchi za watu? Kila siku ye yupo angani tu anabadilisha flights kama dala dala, mara UK, Sweden, south Africa, na mara nyingi zinakua safari binafsi, anapata wapi pesa zote hizo?

Halafu simpendi huyu jamaa!
 
Huyu jamaa mbona anasafiri sana nchi za watu? Kila siku ye yupo angani tu anabadilisha flights kama dala dala, mara UK, Sweden, south Africa, na mara nyingi zinakua safari binafsi, anapata wapi pesa zote hizo?
Na wewe safiri mkuu ukijaji anapata wapi pesa huwez pata jibu
 
Nae eddo kumwembe
 
Nilijua wivu uko kwa wapinzani tu dhidi ya serikal kumbe adi watu binafsi? Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…