Safari za Maulid Kitenge Marekani

Safari za Maulid Kitenge Marekani

Mario Kempes

Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
63
Reaction score
122
Hivi huyu mwamba huwa ana makazi huko? Au anafanya biashara gani huko kwa Joe Biden? Maana kwa mwaka mmoja anaweza kwenda Marekani hata mara nne au tano! Juzi tu hapa kabeba familia nzima kwenda nayo huko akiwemo mama yake mzazi. Jamaa yuko vizuri!

NB:
Mapovu pelekeni mkafulie

93A2B298-B147-4025-AB41-21EF1D6A9D77.jpeg
 
Hivi huyu mwamba huwa ana makazi huko? Au anafanya biashara gani huko kwa Joe Biden? Maana kwa mwaka mmoja anaweza kwenda Marekani hata mara nne au tano! Juzi tu hapa kabeba familia nzima kwenda nayo huko akiwemo mama yake mzazi. Jamaa yuko vizuri!

NB:
Mapovu pelekeni mkafulie

View attachment 2053182
Ajabu jamaa kama mzee mkoloni yeye anapiga picha na ndugu zake tu na wawake wa watu,au watoto wake lakini HATHUBUTU kupiga picha na wake zake, jamaa ana ujanja wa kizamani pamoja na kuwa anachezea pipa.
 
Wabunge watwangana makonde Ghana, kisa tozo kwenye miamala ya simu

Vurugu zimetokea ndani ya ukumbi wa Bunge la Ghana wakati wa mjadala kuhusu pendekezo la serikali la kuweka tozo kwenye miamala ya kielektroniki.

Wabunge hao wamefikia hatua ya kushikana mashati, kusukumana, kurushiana ngumi na viti wakati wengine wakiwa waamuzi wa ugomviu huo.

Ugomvi ulianza baada ya wabunge wa upinzani kukimbilia mbele na kumzuia Naibu Spika, Joseph Osei Owusu kutoka kwenye kiti chake kwenda kupiga kura. Kufuatia vurugu hizo, alilazimika kuahirisha kikao hicho kutokana na kukiukwa kwa taratibu.

Chama cha upinzania, National Democratic Congress (NDC) kinapinga pendekezo la tozo ya asilimia 1.75 kwenye miamala ya kielektroniki ambayo pia inajumuisha miamala kwa njia ya simu.

Wanapinga uamuzi huo kwamba utawagharimu watu wa kipato cha chini na watu walio nje ya mfumo rasmi wa kibenki.

Hata hivyo, Waziri wa Fedha, Ken Ofori-Artta amesema ni muhimu kupanua vyanzo vya mapato na kwamba mpango huo utaweza kuipatia serikali TZS trilioni 2.6 mwaka ujao.

Vurugu zimekuwa sehemu ya bunge la nchi hiyo ambapo mapema Januari mwaka huu wanajeshi walilazimika kuingia ndani ya Bunge kumaliza vurugu wakati wa uchaguzi wa spika.

Baadhi ya raia nchini humo wamekosoa vurugu hizo na kusema kuwa wabunge wao wanatakiwa kuwa watu wakuigwa, na sio kutenda mambo kwa namna isiyofaa.
 
Hivi huyu mwamba huwa ana makazi huko? Au anafanya biashara gani huko kwa Joe Biden? Maana kwa mwaka mmoja anaweza kwenda Marekani hata mara nne au tano! Juzi tu hapa kabeba familia nzima kwenda nayo huko akiwemo mama yake mzazi. Jamaa yuko vizuri!

NB:
Mapovu pelekeni mkafulie

View attachment 2053182
He thinks it's his life mission to let the public know every single time he boards an international flight. This time around he decided his brood and their granny had to have a piece of the excitement.
 
Ajabu jamaa kama mzee mkoloni yeye anapiga picha na ndugu zake tu na wawake wa watu,au watoto wake lakini HATHUBUTU kupiga picha na wake zake, jamaa ana ujanja wa kizamani pamoja na kuwa anachezea pipa.

Hahahahah mastaa wengi wake zao hawafahamiki

We unamjua mke we edo kumwembe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom