Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #41
Karibu kwa mawazo yako mbadala katika ujenzi wa Taifa letuKupata hiki kibonzo tuma neno BONGO kwenda 255
Na watu aina yako hawafai kuwa viongozi maana utaua wote wanaokupinga na kukukosoa, ndio maana CCM Inaendelea kuaminika na watanzania kwa usikivu wakewatu dizaini ya mtoa mada ni shaba tu, hapo tutasogea
Nikukumbushe tu Deni la taifa ni 71.5 bilioniNdugu zangu safari za Rais Samia Nje ya nchi Zimekuwa Ni zenye matunda kwa nchi yetu, zimekuwa Ni zenye mafanikio katika uwekezaji wetu,zimekuwa Ni zenye Tija katika kuimarisha ushirikiano wa kibiashara,zimekuwa Ni zenye mafanikio katika fursa za ajira kwa vijana, kila anakokwenda Rais Samia unaona namna ambavyo fursa zinamwagika na kutiririka nchini.
Mapema kabisa wa uongozi wake Rais Samia alifanya ziara nchini Kenya, Katika ziara hiyo alifanya mazungumzo na mwenyeji wake mh uhuru kenyata, Tangia wakati huo mahusiano yetu na Kenya yamekuwa mazuri Sana, husikii Tena uzuiaji wa mahindi mipakana,husikii Tena kurushiana maneno, husikii Tena kukomoana. Sasa mazao ya Tanzania Hasa Mahindi yanakwenda na kuingia Kenya bila shida yoyote Hali iliyopelekea wakulima wa Tanzania kupata Bei nzuri ya mahindi na kunufaika na jasho lao. Sasa Tanzania na Kenya Ni zaidi ya majirani,Sasa Ni ndugu
Rais Samia Ni muwindaji Hodari, muwindaji mwenye Shabaha,muwindaji anayejuwa ameingia msituni kufanya Nini na kutafuta Nini,muwindaji ambaye Hawezi kutoka mikono mitupu msituni, Rais Samia Ni muwindaji anayetafuta fursa kwa ajili ya nchi yetu kila aendako, Ni muwindaji ambaye kwokwote anakokwenda lazima Taifa letu lipate fursa
Sote Tumeona katika ziara yake nchini China namna ambavyo safari hiyo imekuwa ya mafanikio, namna ambavyo Tanzania inakwenda kunufaika na fursa za kiuwekezaji na kibiashara na namna ziara hiyo ilivyofungua Ukurasa mpya wa kidiplomasia pamoja na namna heshima Tuliyopata Kama nchi kupitia Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania Hadi kufikia kusamehewa Deni la takribani billioni 31 fedha zitakazo saidia kijenda Madara,vituo vya Afya,uchimbaji wa visima virefu vya maji, n.k,
Asante Sana Rais wetu Mama Samia kwa kazi kubwa unayoendelea kuifanya, usikatishwe Tamaa na maneno ya wachache, usivunjike moyo Rais wetu,usirudi nyuma Rais wetu mpendwa, Songa Mbele Rais wetu,chapa kazi Rais wetu mpendwa, Watanzania tupo tunaendelea kukuombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia, Tunakuamini Sana Rais wetu na tutaendelea kukuunga mkono wakati wote
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Umasikini, Maradhi na ujinga bado tatizo TanzaniaNdugu zangu safari za Rais Samia Nje ya nchi Zimekuwa Ni zenye matunda kwa nchi yetu, zimekuwa Ni zenye mafanikio katika uwekezaji wetu,zimekuwa Ni zenye Tija katika kuimarisha ushirikiano wa kibiashara,zimekuwa Ni zenye mafanikio katika fursa za ajira kwa vijana, kila anakokwenda Rais Samia unaona namna ambavyo fursa zinamwagika na kutiririka nchini.
Mapema kabisa wa uongozi wake Rais Samia alifanya ziara nchini Kenya, Katika ziara hiyo alifanya mazungumzo na mwenyeji wake mh uhuru kenyata, Tangia wakati huo mahusiano yetu na Kenya yamekuwa mazuri Sana, husikii Tena uzuiaji wa mahindi mipakana,husikii Tena kurushiana maneno, husikii Tena kukomoana. Sasa mazao ya Tanzania Hasa Mahindi yanakwenda na kuingia Kenya bila shida yoyote Hali iliyopelekea wakulima wa Tanzania kupata Bei nzuri ya mahindi na kunufaika na jasho lao. Sasa Tanzania na Kenya Ni zaidi ya majirani,Sasa Ni ndugu
Rais Samia Ni muwindaji Hodari, muwindaji mwenye Shabaha,muwindaji anayejuwa ameingia msituni kufanya Nini na kutafuta Nini,muwindaji ambaye Hawezi kutoka mikono mitupu msituni, Rais Samia Ni muwindaji anayetafuta fursa kwa ajili ya nchi yetu kila aendako, Ni muwindaji ambaye kwokwote anakokwenda lazima Taifa letu lipate fursa
Sote Tumeona katika ziara yake nchini China namna ambavyo safari hiyo imekuwa ya mafanikio, namna ambavyo Tanzania inakwenda kunufaika na fursa za kiuwekezaji na kibiashara na namna ziara hiyo ilivyofungua Ukurasa mpya wa kidiplomasia pamoja na namna heshima Tuliyopata Kama nchi kupitia Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania Hadi kufikia kusamehewa Deni la takribani billioni 31 fedha zitakazo saidia kijenda Madara,vituo vya Afya,uchimbaji wa visima virefu vya maji, n.k,
Asante Sana Rais wetu Mama Samia kwa kazi kubwa unayoendelea kuifanya, usikatishwe Tamaa na maneno ya wachache, usivunjike moyo Rais wetu,usirudi nyuma Rais wetu mpendwa, Songa Mbele Rais wetu,chapa kazi Rais wetu mpendwa, Watanzania tupo tunaendelea kukuombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia, Tunakuamini Sana Rais wetu na tutaendelea kukuunga mkono wakati wote
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
shuzi limepata mjambajiNdugu zangu safari za Rais Samia Nje ya nchi Zimekuwa Ni zenye matunda kwa nchi yetu, zimekuwa Ni zenye mafanikio katika uwekezaji wetu,zimekuwa Ni zenye Tija katika kuimarisha ushirikiano wa kibiashara,zimekuwa Ni zenye mafanikio katika fursa za ajira kwa vijana, kila anakokwenda Rais Samia unaona namna ambavyo fursa zinamwagika na kutiririka nchini.
Mapema kabisa wa uongozi wake Rais Samia alifanya ziara nchini Kenya, Katika ziara hiyo alifanya mazungumzo na mwenyeji wake mh uhuru kenyata, Tangia wakati huo mahusiano yetu na Kenya yamekuwa mazuri Sana, husikii Tena uzuiaji wa mahindi mipakana,husikii Tena kurushiana maneno, husikii Tena kukomoana. Sasa mazao ya Tanzania Hasa Mahindi yanakwenda na kuingia Kenya bila shida yoyote Hali iliyopelekea wakulima wa Tanzania kupata Bei nzuri ya mahindi na kunufaika na jasho lao. Sasa Tanzania na Kenya Ni zaidi ya majirani,Sasa Ni ndugu
Rais Samia Ni muwindaji Hodari, muwindaji mwenye Shabaha,muwindaji anayejuwa ameingia msituni kufanya Nini na kutafuta Nini,muwindaji ambaye Hawezi kutoka mikono mitupu msituni, Rais Samia Ni muwindaji anayetafuta fursa kwa ajili ya nchi yetu kila aendako, Ni muwindaji ambaye kwokwote anakokwenda lazima Taifa letu lipate fursa
Sote Tumeona katika ziara yake nchini China namna ambavyo safari hiyo imekuwa ya mafanikio, namna ambavyo Tanzania inakwenda kunufaika na fursa za kiuwekezaji na kibiashara na namna ziara hiyo ilivyofungua Ukurasa mpya wa kidiplomasia pamoja na namna heshima Tuliyopata Kama nchi kupitia Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania Hadi kufikia kusamehewa Deni la takribani billioni 31 fedha zitakazo saidia kijenda Madara,vituo vya Afya,uchimbaji wa visima virefu vya maji, n.k,
Asante Sana Rais wetu Mama Samia kwa kazi kubwa unayoendelea kuifanya, usikatishwe Tamaa na maneno ya wachache, usivunjike moyo Rais wetu,usirudi nyuma Rais wetu mpendwa, Songa Mbele Rais wetu,chapa kazi Rais wetu mpendwa, Watanzania tupo tunaendelea kukuombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia, Tunakuamini Sana Rais wetu na tutaendelea kukuunga mkono wakati wote
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Siyo kila mtu analipwa humu Kama unavyolipwa wewe kuja kupinga pinga kila kitu humuNyuzi za kipuuzi kama hizi nimeziona sana leo, sijajua waleta mada kama washakula buku saba kutoka lumumba
Maadui hao wanaendelea kushughulikiwa kila Siku na serikali ya CCM inayoongozwa na mama SamiaUmasikini, Maradhi na ujinga bado tatizo Tanzania
Maadui hao wanaendelea kushughulikiwa kila Siku na serikali ya CCM inayoongozwa na mama Samia