ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Safari za usiku nazi-enjoy zaidi kama mimi ndiye naendesha. Lakini nikisafiri kwa basi, wasiwasi huanza pale ninapoona abiria wote wamelala—mpaka konda naye kalala! Yaani mtu ambaye angepaswa kuwa macho, ampige stori dereva ili apate kampani, naye kajizima.
Halafu basi iwe barabara nzuri. Lakini kwa barabara yetu ya kusini—ile yenye mashimo kila hatua—aisee bora kubaki macho.
Maana ajali ikitokea ukiwa umelala, unakufa vibaya bila hata kujua kilichokupata.