ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Mimi usiku tu kupata usingizi ni kazi kubwa...SAFARINI SILALI.Safari za usiku nazi-enjoy zaidi kama mimi ndiye naendesha. Lakini nikisafiri kwa basi, wasiwasi huanza pale ninapoona abiria wote wamelala—mpaka konda naye kalala! Yaani mtu ambaye angepaswa kuwa macho, ampige stori dereva ili apate kampani, naye kajizima.
Halafu basi iwe barabara nzuri. Lakini kwa barabara yetu ya kusini—ile yenye mashimo kila hatua—aisee bora kubaki macho.
Maana ajali ikitokea ukiwa umelala, unakufa vibaya bila hata kujua kilichokupata.
Nilipanda ndege na Mkenya siti moja, mara anatoa ma valium huku ananiuliza kama nataka, nikatoa njeMaana ajali ikitokea ukiwa umelala, unakufa vibaya bila hata kujua kilichokupata.
Safari za usiku nazi-enjoy zaidi kama mimi ndiye naendesha. Lakini nikisafiri kwa basi, wasiwasi huanza pale ninapoona abiria wote wamelala—mpaka konda naye kalala! Yaani mtu ambaye angepaswa kuwa macho, ampige stori dereva ili apate kampani, naye kajizima.
Halafu basi iwe barabara nzuri. Lakini kwa barabara yetu ya kusini—ile yenye mashimo kila hatua—aisee bora kubaki macho.
Maana ajali ikitokea ukiwa umelala, unakufa vibaya bila hata kujua kilichokupata.
Kusini lindi na mtwara?aisee raod ina shimo hatari kama mahandaki na jamaa wala hawana mpango wowoteSafari za usiku nazi-enjoy zaidi kama mimi ndiye naendesha. Lakini nikisafiri kwa basi, wasiwasi huanza pale ninapoona abiria wote wamelala—mpaka konda naye kalala! Yaani mtu ambaye angepaswa kuwa macho, ampige stori dereva ili apate kampani, naye kajizima.
Halafu basi iwe barabara nzuri. Lakini kwa barabara yetu ya kusini—ile yenye mashimo kila hatua—aisee bora kubaki macho.
Maana ajali ikitokea ukiwa umelala, unakufa vibaya bila hata kujua kilichokupa
Vyote ni vifo tukufa ukiwa unaona, na kufa usingizini kwako kipi bora?
WajuzeKwa taarifa yenu hufi mpaka uamke 😂😂
We mwanaume wa Dar?!!!! Nasikia ilibaki kidogo ujirushe dirishani kwenye gari inayotembea kwa Kasi.Aliingia popo kwenye kioo cha nyuma siwezi sahau Ile Siku
Usikomalie sana kubisha vitu kichadema-chadema, Huku vijijini huo ndo usafiri mkuu......iwe alfariji, iwe asubuhi, iwe mchana, iwe al-asir, iwe jioni au iwe usiku kwenye dharura yoyote.Baadhi ya ajali zinatokana na Dereva kusinzia .
Unaweza ukatafakari hii ajali iliyopelekea kifo cha meneja polisi wanadai kuwa , dereva alikuwa anamkwepa mwendesha baiskeri usiku .
Ina maana kuna watu wanaendesha baiskeri usiku saasaba katika barabara kuu na wanajiachia kiasi cha kusababisha ajali
Halafunwanakukuta na govi lako hujavaa chupiHalafu basi iwe barabara nzuri. Lakini kwa barabara yetu ya kusini—ile yenye mashimo kila hatua—aisee bora kubaki macho.
Maana ajali ikitokea ukiwa umelala, unakufa vibaya bila hata kujua kilichokupata.
Kuna mabasi ya usiku yana mito na vilago vya kulalia abiria hasa akina mama, vilago hivi hutandikwa ile sehemu ya kati yaani njia inayotenganisha viti vya kulia na kushoto, mtindo huu huwavutia baadhi ya abiria kwenye mabasi hayo.Safari za usiku nazi-enjoy zaidi kama mimi ndiye naendesha. Lakini nikisafiri kwa basi, wasiwasi huanza pale ninapoona abiria wote wamelala—mpaka konda naye kalala! Yaani mtu ambaye angepaswa kuwa macho, ampige stori dereva ili apate kampani, naye kajizima.