Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Kama ziara ilikuwa ya kwenda UN basi dunia nzima including Tz (Kasoro Kosovo na Vatican) ni UN, kwahiyo Rais na Mange walikuwa ndani ya sphere of influence ya UN na kwamba hakumfuata Mange US wala kukutana naye US maana ziara ya Rais haikuwa US bali UN, kwa maneno mengine ni kuwa walikuwa Tz pia maana Tz nayo iko kwenye sphere of influence ya UN (UN ina wanachama 255 wanaotengeneza sphere of influence ya UN).UN haina eneo la kijiografia, kusema US ni sahihi zaidi kisha utofautishe kwamba alienda kwenye ofisi za umoja wa mataifa (UN) zilizo katika nchi ya Marekani
Mkuu,The point is; A head of state should have inspirational travel. Like it goes, she is trying to discover a new ocean! Why so unprogrammed. Unafika unakokwenda ndo unaambiwa; Oooh! Huyu ni Kimambi oooh! selfie kidogo! Oooh Bhla! Bhla! Rais wa nchi au kitu gani?
View attachment 2006035
Nimependa hiki kibwagizo....hakika ni mziki mneneNafuu reference Iwe kwa Msoga gang, sukumagang ulikuwa mziki mnene.
UN haina 'physical geographical area' ni kama ilivyo kwa AU ambapo ina makao yake makuu huko kwenye jiji la Addis Ababa nchi ya EthiopiaKama ziara ilikuwa ya kwenda UN basi dunia nzima including Tz (Kasoro Kosovo na Vatican) ni UN, kwahiyo Rais na Mange walikuwa ndani ya sphere of influence ya UN na kwamba hakumfuata Mange US wala kukutana naye US maana ziara ya Rais haikuwa US bali UN, kwa maneno mengine ni kuwa walikuwa Tz pia maana Tz nayo iko kwenye sphere of influence ya UN (UN ina wanachama 255 wanaotengeneza sphere of influence ya UN).
Akae huko huko, hahiyajiki hapaNaomba uzi huu ujikite katika kuhesabu safari za Rais Samia, mafanikio yake na hasara zake kwa kipindi chote atakachokuwa madarakani.
Siwezi kuzikumbuka zote ila mpaka sasa kaenda Kenya zaidi ya mara moja, Uganda, Rwanda, Zambia, USA, Misri.
Kwa mwenye idadi naomba aniweke sawa ila mpaka sasa hazipungui saba.
Ila kuanzia sasa tuwe tunazihesabu kwa pamoja.
Absent President, akirudi anafukuza waziri asiuefika airport kumpokea, she is a moron!Akae huko huko, hahiyajiki hapa
Shiiit! Umewahi kusikia CAG anakagua mahesabu ya Ikulu? Umewahi kusikia CAG anakagua mahesabu ya Bunge?Mkuu,
Mimi katika hii clip #sikubaliani na Rais Magufuli (deceased) kwasababu tangu CAG ya kwanza kuanzishwa chini ya Katiba ya Tanganyika ibara ya 73 na kuanza kazi hata kabla ya Disemba 9, 1961 hadi leo kupitia Katiba ya Tanzania ya 1977 hakuna hata siku moja CAG amebaini kwenye ukaguzi wake wa mahesabu matumizi mabaya ya fedha za serikali katika ziara zote za Marais wote wa Tanganyika na Tanzania. Kama kuna ripoti yoyote ya CAG tangu Tanganyika hadi Tanzania inayothibitisha kugundua matumizi mabaya ya fedha za serikali kwenye ziara za Marais wote 6 naomba rejea yake.
They have unlimited budgets. Ya Kikwete ilikuwa babu kubwa. Officials were paid US$550 per day.Shiiit! Umewahi kusikia CAG anakagua mahesabu ya Ikulu? Umewahi kusikia CAG anakagua mahesabu ya Bunge?
Unaishi nchi gani, na ya mfumo gani?
Kikwete alikuwa jangili Kama hilo mama!! She is married to a man with 4 wives. She is proud of that.They have unlimited budgets. Ya Kikwete ilikuwa babu kubwa. Officials were paid US$550 per day.
Magufuli enzi zake yalifanyika mambo makubwa sana, eg kulindwa kundi la wasiojulikana, watu kutoweka, ukiukwaji wa katiba, chaguzi zisizo kidhi vigezo hata vya ndani, kujua ajira, nk nk.Kwa ufupi tu: alitukuta tukiwa dunia ya tatu, sasa tupo dunia ya pili.
Huenda umezaliwa au kufika mwaka huu!Mkuu kwa kutumia ushahidi usioacha mashaka (siyo hearsay na speculations), tafadhali thibitisha:
• Alimteka nani?
• Alimpiga nani risasi?
• Alimfunga nani na au lini aligeuka kuwa hakimu?
• Aliharibu uchaguzi upi na lini amekuwa msimamizi wa uchaguzi?
• Mali zipi za umma alizozoiiba?
Lisemwalo lipo, kama halipo laja!Kwa vielelezo na ushahidi usiotia shaka, thibitisha:
• Ameua demokrasia.
• Ameua wakosoaji wake.
• Amefanya maamuzi ya hovyo yaliyoligharimu taifa.
Note: Usilete hearsay au speculations. Uweke tangible evidence.
Unawalindaje watu usiowajua?Magufuli enzi zake yalifanyika mambo makubwa sana, eg kulindwa kundi la wasiojulikana
Kwenda wapi?watu kutoweka
Ibara au kipengele kipi?ukiukwaji wa katiba,
Reports zote zilionesha tulikuwa na chaguzi huru na za haki enzi zake. Tupe reports zinazoonesha vinginevyo.chaguzi zisizo kidhi vigezo hata vya ndani
Siku hizi hamzijui, au kabla yake hamkuzijua?kujua ajira
Kwahiyo huu ndiyo uthibitisho ulionao?Huenda umezaliwa au kufika mwaka huu!
Ndiyo ushahidi huu? 😁Lisemwalo lipo, kama halipo laja!
Hakuna kunwa alilo fanya magufuli zaid ya kujaza watu hofu ana uoga pamoja na ujingaMama Samia ana kazi sana. Wengi wanampima huku reference point ikiwa JPM. Ndiyo shida ya kukamata uongozi huku mtangulizi wako akiwa amefanya mambo makubwa makubwa.
Duh kumbeWamisri wamegoma kuendelea Kujenga Bwawa letu kwani Pesa hawazioni hivyo tunaenda kuwapigia Magoti Ndugu. Kazi ipo!
Anga za kimataifa zinamilikiwa na UN, Buffer Zones zote ardhini zinamilikiwa na UN, Radio Frequencies zote duniani (ambazo nazo ziko kwenye mipaka) zinamilikiwa na kutolewa na UN.UN haina 'physical geographical area' ni kama ilivyo kwa AU ambapo ina makao yake makuu huko kwenye jiji la Addis Ababa nchi ya Ethiopia