Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

20. TBD
 
Safi sn huu Uzi uendelee mpaka 2025 tuone ziara ni ngapi na manufaa ya safari ni zipi na utakayofanya tulinganishe na aliekua hasafiri
 
Naomba ajitahiditahidi aongeze ziara avunje rekodi ya Mzee Kikwete. Yaani itapendeza sana.
 
Hasa yale ya kuteka watu, kupiga marisasi, kufunga watu bila hatia, kuharibu uchaguzi na wizi wa Mali za umma.
Kama ni hivyo alienda QATAR unamuondoaje? Au huyu mpya machoni mwako?

Kumbuka chupa ile ile
 
Hii safari ya leo ya muhimu sana, tuna maslahi nayo.

Mungu amtangulie.
ANATEKETEZA TOZO TU
Ziara nyingi hazina tija amtume hata Majaliwa au makamu kwani ziara zao hazina gharama kibwa sawa na za rais.

Kikwete amerudi upya kwa sura ya maza
 
Mama anatarajiwa kuwa mwafrika pekee kuvunja rekodi ya Vasco Da Gama
 
Mama anaishi ndoto yake uzeeni. Ni mwendo wa kuzunguka dunia tu. Kama yupo nchini basi kajibanza sehemu na simu yake akiomba mialiko.
Akipata msitiri tu wa kumwambia haya njoo, gulfstream linapigwa full tank anasepa.
Ila kupenda kwake kote kusafiri sijamsikia akienda Somalia au Russia.
 
Hujamsikia X wake anasema alikua excited sana kumuona live Michae Jackson na Rihanna?
 
Mtajijua makapuku, nchi iko kwa wenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…