Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

Uzinduzi hakuna sasa hivi...

Yupo amepumzika...
 
Ila upinzani mmepoteza muelekeo na kubaki kuhangaika tu, Eti Track Rekodi, Nani kakupa kibarua hicho? Nenda ukarekodi habari za Mbowe na chadema huko
 
Litakuwa ni kosa kuhesabu safari za rais nje ya nchi bila kuangalia nini kinakwenda kupatikana kupitia hiyo safari.

Uwekezaji umeongezeka, pia wafanyabiashara wakubwa wana amani ya kufanya biashara.

Majuzi nimeona mzungu mmoja anafanya kite surfing hapa mbezi beach baharini, miaka michache iliyopita hatukuweza kuona wageni kwa maana ya wataalam wakiwa na amani kama hivi sasa.

Vibali vyao vya kuishi vikimalizika tu waliambiwa wafungashe virago, ile ni hulka ambayo kwa muda mrefu inakuwa na madhara kwa uendeshaji wa makampuni makubwa yanayohitaji elimu na ushawishi mpana wa kimataifa.
 
gimmy's afadhali umeona ulivyojibiwa. Next time jibu hopja au just skip and proceed with your own affairs kuliko matusi.
Kwani kufuatilia track record ya mkeo ni tusi chief?
Tatizo linakuja pale niliporusha jiwe gizani bahati mbaya nikawa nimepatia.
Mtu anafuatilia alipo raisi wakati kwa wakati huo hana taarifa za mienendo ya mkewe,huo ni wendawazimu.
 
Kwani kufuatilia track record ya mkeo ni tusi chief?
Tatizo linakuja pale niliporusha jiwe gizani bahati mbaya nikawa nimepatia.
Mtu anafuatilia alipo raisi wakati kwa wakati huo hana taarifa za mienendo ya mkewe,huo ni wendawazimu.
nakwambia mama yako nina track record yake!
 
Masanja aliwajibu kuwa “unasema mama anasafiri sana ULITAKA ASAFIRI BABAAKO”
Masanje naye ni mtu wa kusema ukamsikiliza?, yule ni IRON boy as classified by Plato in the Theory of state! kichwani hamna kitu... these kinds of him, their main function in the state is to entertain the state.....kama anavyofanya
 
Wakuu hii ni Orodha ya Nchi alizofika Samia mpaka ya leo.
.
1: 10 Apr 21. - -> Uganda.
2: 4 May 21 - -> Kenya
3: 12 May 21 - -> Uganda
4: 22 June 21 - -> Msumbiji
5: 16 Jul 21 - -> Burundi
6: 02 Aug 21 - -> Rwanda
7: 16 Aug 21 - - > Malawi
8: 24 Aug 21 - - > Zambia
9: 18 Sep 21 - - >. UN HQ (USA)
10. 20 Oct 21 - - > Scotland
11. 10 Nov 21- - > Misri
12. 10 Feb 22 - - > Ufaransa
13. 15 Feb 22 - - > Ubelgiji
14. 24 Feb 22 - - > Dubai
15. 13 April 22 - - > USA
16. 10 May 22 - - > Uganda
17. 23 May 22 - - > Ghana
18. 11 June 22 - -> Oman (kwa ndugu zake )
19. 06 Jul 22 - - >. Senegal
20. 16 Aug 22 - - > DRC ( Congo)
21. 13 Sep 22 - - > Kenya
22. 17 Sep 22 - - > United Kingdom
23. 21 Sep 22 - - > Msumbiji
24. 04 Oct 22 - -> Qatar
25. 02 Nov 22 - -> China
.
Acha Tuone Mwisho Wake
 
Watu mnae kazi
Sio balozi huyo ni Rais
Hamchelewi kuja na gharama za usafiri za kubumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…