Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

Kuishi kutamu ndugu yangu... amesha jua watoto wake wanataka urithi walio achiwa na baba yao. Na anajua fika kuwa ni watoto wake ndio walio mnyima chakula baba yao hadi umauti ukamfika.

Sasa waswahili wanasema ukiona mwenzako ananyolewa weka maji nywele zako....

Yeye amegoma kutoa maji nywele zake ndio maana kutwa kiguu na njia kujinusuru...awaacha watoto wafanye wanavyo taka wakitapanya urithi walio achiwa huko na huku.

Watu Wana ponda maisha bwana😭😭😭😭​
 

Live
06 March 2024

Obafemi Awolowo Prize for Leadership Award Ceremony​


View: https://m.youtube.com/watch?v=ecz1v7Colcc
Source : AfDBGroup
 
Ile ya Kenya aliyokwenda bila kuaga wala kupiga Hodi umeiweka ?
 
Bado Kidogo Amalize Dunia Yote (Nchi Zote Ulimwenguni)
 
Nani mtaalam atuletee na gharama zote zilizotumika kumsafirisha na kumrudisha katika safari zake zote za nje kwa mataifa hayo 54

Je, tumepata pia faida za moja kwa moja kama Taifa?

Kwa nini nauliza maswali hayo?

Kuna umhimu kuyajua hayo ili tunapokwenda kupata katiba mpya tuone iwapo sasa itakuwa kunaumhimu wa marais wajao kufikishwa mahakamani kwa hasara zitokanazo na matumizi mabaya ya kodi za walala hoi kutumika kusafiri safiri kwa viongozi bila tija yotote

Na wakati huo huo tuna mabalozi wetu huko kwenye mataifa hayo
 
Bado North Korea tu ili awe amezitembelea nchi zote duniani.
 
Hizi Social media bwana! Zimewafanya vibogoyo kusema na kuuliza! Ziara za rais nyingi zina manufaa kwa nchi; labda kama wazungumzia zile za JK. Pili, huwezi kushutumu ziara hadi ujue madhumuni na nini Tanzania inapata. Hujui!
 
Mara 54! Kila nchi akikaa siku mbili atakua alikua nje ya nchi kwa zaidi ya siku 100!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…