Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

Ndio moja ya kazi ya rais hiyo kudumisha mahusiano na nchi zingine na pia kutatua matatizo yalio jitokeza.
Kumbuka rais na rais wakikutana mengi hufanikiwa sababu ya uzito wa wadhifa wao
 
Ila sisi Wabongo 🙌 JPM alikuwa hasafiri mkasema hajui lugha za kimataifa, Samia pia bado mna lalamika 😂 Anyway huyu mama nae kazidi aisee dah
 
Kuna baadhi ya nchi wapinzani/jeshi wakijua rais hayupo nchini wanafanya mapinduzi ila hii ni tofauti kwa hapa bongo mana wote waliobaki ni vichwa maji.
 
Huyu naye ni Vasco da Gama wa kike. Huenda akampiku jk kwa rekodi yake ya kusafiri nje. Ninaamini na yeye anachotafuta ni posho na fursa za dili akiwa nje.
 
Hizi Social media bwana! Zimewafanya vibogoyo kusema na kuuliza! Ziara za rais nyingi zina manufaa kwa nchi; labda kama wazungumzia zile za JK. Pili, huwezi kushutumu ziara hadi ujue madhumuni na nini Tanzania inapata. Hujui!
Tutajie walao faida 20 zilizopatikana kwenye hizo safari 54 alizofanya
 
Ndio moja ya kazi ya rais hiyo kudumisha mahusiano na nchi zingine na pia kutatua matatizo yalio jitokeza.
Kumbuka rais na rais wakikutana mengi hufanikiwa sababu ya uzito wa wadhifa wao
Sasa hapa ndo umechangia au ndo umeonyesha level ya upumbavu wako?
 
A statement issued by the Executive Director of the Foundation, Dr. Awolowo Dosumu said the event will be chaired by President Samia Hassan of Tanzania.
06 March 2024
Lagos, Nigeria

Obafemi Awolowo Prize For Leadership Award: Adesina Emerges Winner


Correspondent, Ajeck Mangut, reports that the award is in honour of the late Obafemi Awolowo, a Nigerian statesman who advocated for independence, nationalism and federalism. SABC News.
 

Ungeweka na cost anayotumia kwenye kila safari moja, cost I mean Gharama za kusafiri pamoja na perdiem zake na wasaidizi wake
Please do that analysis watu wapate kustaajabu.
 
Umechoka ku update?
 
Ila sisi Wabongo 🙌 JPM alikuwa hasafiri mkasema hajui lugha za kimataifa, Samia pia bado mna lalamika 😂 Anyway huyu mama nae kazidi aisee dah

Kila kitu yafaa kwa kiasi fulani.
Na vingine kwa uchache sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…