Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

Huwezi ukawa kiongozi wa akili timamu ukaenda ufaransa kujadili matumizi ya nishati Bora afrika. Yaani jambo linaihusu afrika unajisomba kwenda ufaransa kujadili jambo hili. Ni lini ufaransa ilikuja Tanzania kujadili jambo lake ? Afrika inaongozwa na wajinga
 
Anatengezewa safar ili watu wale. Nasikia pia kaambiwa usijali maneno ya watu

Hey weka cost analysis kwa kila safar plus wasaidizi wake muelewe maana ya Tanzania ni tajiri
 
Mkuu umechoka ku update? kukimbizana na safari za huyu mama ni ngumu sana
 
Zimegharimu trilioni ngapi? Ponda mali uchaguzi waja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…