Safaricom Kenya yaomba ulinzi kwa Serikali. Ni baada ya Starlink kushusha bei hadi Tsh. 26,000/= kwa GB 50

Hivi ukikaa pale Mpakani Namanga huwezi kuinjoi hii huduma ya Bwana Elon Musk ili tuwakimbie hawa mabepari yetu yanayolindwa na TCRA
Popote ulipo Tanzania unaweza kutumia,ukipata tuu hiyo starlink kit na fundi wa kuifunga , kuna baadhi ya watu tayari wanatumia.Zilikuwaga zinauzawa kariakoo polisi wakatumwa wapige wakamate wauzaji.
 
Sio wazalendo kabisa wanataka vijana tufanye umachinga tuu wakati kuna digital skills kibao tunaweza kufanya kazi remotely na taifa likaingiza fedha za kigeni.
Tutapambana tu na tutatoka hawataamini
 
Huku kwetu hakuna wa kutetea wananchi majeshi yenyewe yapo bize na singeli..
 
Sio lazima uende mpakani, inashika Africa nzima kwasababu ni Satellite kikubwa uwe na vifaa tu
Kama utasikia Kuna watu wanafunga hivyo vifaa Tanzania, tafadhali nisaidie wanifikie.

Hizi gharama za Vifurushi Tanzania ni kubwa sana.

Hapa nina device naitumia kupata access ya internet data nalipia Kila Mwezi shilingi 120,000.

Hizi ni gharama kubwa ujue 🙌
 
Popote ulipo Tanzania unaweza kutumia,ukipata tuu hiyo starlink kit na fundi wa kuifunga , kuna baadhi ya watu tayari wanatumia.Zilikuwaga zinauzawa kariakoo polisi wakatumwa wapige wakamate wauzaji.
Kumbe vifaa vilishaanza kuingia Tanzania? Kama utawapata hao jamaa naomba uniunganishe nao.

Gharama za bando Tanzania ni kubwa mno kwasasa
 
Kumbe vifaa vilishaanza kuingia Tanzania? Kama utawapata hao jamaa naomba uniunganishe nao.

Gharama za bando Tanzania ni kubwa mno kwasasa
Sasa hivi watakuwa wanauza kwa connection maana police walipiga marufuku na kuna namna nje juu ya bati wanaficha icho ki antena cha starlink kwa kutumia madish mengine.
 
[emoji845]OFA OFA OFA [emoji3533]ZA LEO BEI CHEE SAWA NA BURE KWA HALOTEL

GB ZA HALOTEL WIKI 2
GB5=5,000
GB6=6,000
GB7=7,000
GB8=8,000
Gb10=10000.

GB ZA HALOTEL MWEZI
Gb10= 10000
GB15=15000
GB20=20,000
GB25=24,000
Gb30=27,000
GB40=35,000
Gb45=38,000
Gb60=49,000
Gb90=70,000
Gb120=95,000
Ni chapu.. Uaminifu ndo siraha yetu, mambo iko huku we una subiri nini usajili sasa laini ya halotel leo usipitwe na uhondo, kabla bei hazijabadika
[emoji338] 0618279799
0712776823
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…