Conte Code
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 227
- 253
Ni suala la muda tu ....huwezi kushindana na teknologia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wazalendo kabisa wanataka vijana tufanye umachinga tuu wakati kuna digital skills kibao tunaweza kufanya kazi remotely na taifa likaingiza fedha za kigeni.Watu ni wabinafsi sana, wanajali matumbo yao tu?
Popote ulipo Tanzania unaweza kutumia,ukipata tuu hiyo starlink kit na fundi wa kuifunga , kuna baadhi ya watu tayari wanatumia.Zilikuwaga zinauzawa kariakoo polisi wakatumwa wapige wakamate wauzaji.Hivi ukikaa pale Mpakani Namanga huwezi kuinjoi hii huduma ya Bwana Elon Musk ili tuwakimbie hawa mabepari yetu yanayolindwa na TCRA
Tutapambana tu na tutatoka hawataaminiSio wazalendo kabisa wanataka vijana tufanye umachinga tuu wakati kuna digital skills kibao tunaweza kufanya kazi remotely na taifa likaingiza fedha za kigeni.
Ni swala muda tuu mbona watu tayari wanatumia hiyo starlinkTutapambana tu na tutatoka hawataamini
Inafanya kazi vzr tuu mana inatumia satellite, Kuna kampuni kubwa hapa Tz inatumia starlink.Hivi nikinunua starlink from Kenya haitafanya kazi kwangu?
Sio lazima uende mpakani, inashika Africa nzima kwasababu ni Satellite kikubwa uwe na vifaa tuHivi ukikaa pale Mpakani Namanga huwezi kuinjoi hii huduma ya Bwana Elon Musk ili tuwakimbie hawa mabepari yetu yanayolindwa na TCRA
Bei ya vifaa na gharama za installation zikoje kwa sasa?Sio lazima uende mpakani, inashika Africa nzima kwasababu ni Satellite kikubwa uwe na vifaa tu
Huku kwetu hakuna wa kutetea wananchi majeshi yenyewe yapo bize na singeli..Baada ya Starlink kushusha bei ya plans zake na kuintroduce kifurushi cha Ksh. 1,300 ambayo ni sawa na kama Tsh. 26,000 za kitanzania kwa 50GB kwa mwezi na plan ya Tsh. 400 kwa GB 1 (20KES) pale ambapo utamaliza kifurushi hicho kabla ya mwezi kuisha.
Kampuni ya mawasiliano ya Kenya Safaricom imetoka hadharani na kuomba Serikali ya Kenya kujitokeza na ku-regulate bei hizo maana zitaharibu soko lao local providers
Ikumbukwe kuwa Safaricom na mitandao mingine vifurushi vyao vya bei ya chini kabisa ni Tsh. 50,000 kwa GB 45 kwa mwezi, hii ikiambatana na speed ndogo ya internet ukilinganisha na ile ya Starlink.
Pia kampuni hii ya Starlink chini ya bwana mkubwa Elon Musk iliitikia kilio cha wengi na kushusha bei ya antenna zake na installation fee kwa zaidi ya 70%
Kama utasikia Kuna watu wanafunga hivyo vifaa Tanzania, tafadhali nisaidie wanifikie.Sio lazima uende mpakani, inashika Africa nzima kwasababu ni Satellite kikubwa uwe na vifaa tu
Kumbe vifaa vilishaanza kuingia Tanzania? Kama utawapata hao jamaa naomba uniunganishe nao.Popote ulipo Tanzania unaweza kutumia,ukipata tuu hiyo starlink kit na fundi wa kuifunga , kuna baadhi ya watu tayari wanatumia.Zilikuwaga zinauzawa kariakoo polisi wakatumwa wapige wakamate wauzaji.
Sasa hivi watakuwa wanauza kwa connection maana police walipiga marufuku na kuna namna nje juu ya bati wanaficha icho ki antena cha starlink kwa kutumia madish mengine.Kumbe vifaa vilishaanza kuingia Tanzania? Kama utawapata hao jamaa naomba uniunganishe nao.
Gharama za bando Tanzania ni kubwa mno kwasasa
Kwenye 1MBei ya vifaa na gharama za installation zikoje kwa sasa?
yule bwana alowabania starlink alishapata malipo yakeMilio Kama hii ilipaswa kusikika hata hapa 🇹🇿