Safi Israel kwa kulipua matanki ya maji Gaza

Haujajibu swali

Msingi wa Ukristo ni Yesu Kristo

Sasa ikiwa Wayahudi hawamwamini Yesu kuna Ukristo gani ndani ya Uyahudi?
MKUU HATA HUJUI UKRSTO.
MSINGI WA UKRSTO NI MUNGU WA WAYAHUDI YEHOVAH NA MWANAE EMMANUELI (YESU) NA ROHO WA MUNGU YEHOVAH
NB: UNASEMA WAYAHUDI HAWAMWAMINI YESU KUMBE HATA TORATI HUIJUI UNAONGEA TU
NENDA KASOME GOMBO LA NABII ISAYA NA NABII NEHEMIAH KWENYE TORATI TAKATIFU.
 
Haujajibu swali

Msingi wa Ukristo ni Yesu Kristo

Sasa ikiwa Wayahudi hawamwamini Yesu kuna Ukristo gani ndani ya Uyahudi?
MKUU HUJUI TORATI WALA HUJAWAHI KUISOMA NA WALA HUMJUI YESU MUNGU MWANA NA YEHOVAH MUNGU BABA.
NB: KASOME KWANZA TORATI GOMBO LA NABII ISAYA NA NABII NEHEMIA
NDIO UTAJUA KUNA UKRSTO GANI NDANI YA UEBRANIA (UYAHUDI)
 
MKUU HATA HUJUI UKRSTO.
MSINGI WA UKRSTO NI MUNGU WA WAYAHUDI YEHOVAH NA MWANAE EMMANUELI (YESU) NA ROHO WA MUNGU YEHOVAH
NB: UNASEMA WAYAHUDI HAWAMWAMINI YESU KUMBE HATA TORATI HUIJUI UNAONGEA TU
NENDA KASOME GOMBO LA NABII ISAYA KWENYE TORATI TAKATIFU.
Hao jamaa walimkataa Yesu kitambo sana,

Pilato aliwauliza nimfungulie nani awe huru na nani auliwe? Maana kulikuwa na wafungwa wawili Yesu na Baraba

Wayahudi wakasema Baraba afunguliwe aachiwe huru ila Yesu wakabidhiwe wamsurubu

Pilato akawaambia mtalaaniwa wakamjibu laana ya kumuua iwe juu yetu na juu ya vizazi vyetu

Yesu akakabidhiwa kwa Wayahudi akauliwa
 
Hao jamaa walimkataa Yesu kitambo sana,

Pilato aliwauliza nimfungulie nani auliwe? Maana kulikuwa na wafungwa wawili Yesu na Baraba

MKUU NIMEKWAMBIA KAMA UNADAI WAYAHUDI HAWAMJUI EMANUELI MASIHI (YESU)
SIMBA WA YUDA
MUNGU MWENYE UWEZO.
KASOME TORATI TAKATIFU KATIKA GOMBO LA MANABII ISAYAH NA NABII NEHEMIAH.
NB:USIONGEE TU KUFURAHISHA GENGE
WAYAHUDI NA WAKRSTO WANAISHI KUPITIA TORATI NA INJILI YA MUNGU WAO YEHOVA NA MWANAE YESU.
 
Myahudi yupi alimuua yesu??
Mtaje jina???
Hata historia ya MUNGU MKUU YESU HUIJUI UNAFANYA USHABIKI TU
 
.Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Quran)
Hicho kijitabu kimejaa ujinga.
 
.Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Quran)
Mbona mnakimbilia ulaya na marekani kwa wingi.
Kwanini hamkimbilii sudani au Somalia au saudia arabia
 
MKUU NIMEKWAMBIA KAMA UNADAI WAYAHUDI HAWAMJUI EMANUELI MASIHI (YESU)
SIMBA WA YUDA
MUNGU MWENYE UWEZO.
KASOME TORATI TAKATIFU KATIKA GOMBO LA MANABII ISAYAH NA NABII NEHEMIAH.
NB:USIONGEE TU KUFURAHISHA GENGE
WAYAHUDI NA WAKRSTO WANAISHI KUPITIA TORATI NA INJILI YA MUNGU WAO YEHOVA NA MWANAE YESU.
Soma hiyo uongeze maarifa

Screenshot_20231106-220245_Chrome.jpg
 
Soma hiyo uongeze maarifa

View attachment 2806324
MKUU MIMI SISOMI WIKIPEDIA BALI NASOMA TORATI TAKATIFU YA MUNGU WA WAYAHUDI NA WAKRSTO.
NB: SIKU NYINGINE UKIONGEA VITU UJUE WAPO WATU WENYE DINI YAO NA WANAJUA KULIKO WEWE.
NB: WAISLAMU WANAHANGAIKA SANA KUWASHAWISHI WAKRSTO WAWACHUKIE WAYAHUDI NA HAWAJUI HAYA MAKUNDI MAWILI MUNGU WAO NI MMOJA EL SHADAI NA MWANAE EMANUELI
 
Naona sasa umekosa hoja

Hilo liko wazi mkuu Wayahudi hawamwamini Yesu na wala hawaamini kwenye UTATU MTAKATIFU (Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu)

Kwa hiyo Wakristo tusijependekeze kwa Wayahudi

Uyahudi ni dini inajitegemea na mafundisho yake kama vile ilivyo kwa Ukristo, Uislamu, Hindu, Buddhism, Shinto n.k
 
Acha wachakazwe tu,kwa akili zao wenyewe waliamua kwenda kuwachoza waisrael bila kulazimishwa na mtu yeyote

Kwa hio wakipata kipigo wapambane na hali zao huko huko wasitake kuonewa huruma
Picha za yanayoendelea zinahuzunisha sana!! Ila aliyewashawishi kwenda kulipua mzinga WA nyuki bila tahadhari ndio WA kubeba laana zote za mateso ya raia
 
Naona sasa umekosa hoja

Hilo liko wazi mkuu Wayahudi hawamwamini Yesu na wala hawaamini kwenye UTATU MTAKATIFU (Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu)

Kwa hiyo Wakristo tusijependekeze kwa Wayahudi

Uyahudi ni dini inajitegemea na mafundisho yake kama vile ilivyo kwa Ukristo, Uislamu, Hindu, Buddhism, Shinto n.k
MKUU SASA WEWE UNANIPA WIKIPEDIA
MIMI NAKUSOMEA TORATI YA WAYAHUDI
NB: UYAHUDI NI CHIMBUKO LA UKRSTO NA NDIO MAANA WAKRSTO WANATUMIA TORATI NA MUNGU WAO YEHOVA NI MMOJA.
ILA WAISLAMU NA WAARABU KWA CHUKI ZAO BINAFSI ZA KIDINI NDIO WANAJIFARIJI KWA KUSEMA WAKRSTO NA WAYAHUDI NI TOFAUTI
 
Wewe huna uwezo wa ku argue na mimi maana uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo.tafuta wa size yako
MKUU HIVI ULITEGEMEA BAADA YA OCTOBER 07 IDF WATAWACHEKEA WAARABU.
NB: WASOMI WAGA HATUBISHANI ILA HOJA HUPINGWA NA HOJA TUMEZOEA PROPAGANDA SINCE 1967
WAARABU WALIPOJIUNGA KUWAUA WAYAHUDI KWA CHUKI ZAO ZA KIDINI
 
Back
Top Bottom