Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
MKUU HATA HUJUI UKRSTO.Haujajibu swali
Msingi wa Ukristo ni Yesu Kristo
Sasa ikiwa Wayahudi hawamwamini Yesu kuna Ukristo gani ndani ya Uyahudi?
MKUU HUJUI TORATI WALA HUJAWAHI KUISOMA NA WALA HUMJUI YESU MUNGU MWANA NA YEHOVAH MUNGU BABA.Haujajibu swali
Msingi wa Ukristo ni Yesu Kristo
Sasa ikiwa Wayahudi hawamwamini Yesu kuna Ukristo gani ndani ya Uyahudi?
October 07 haikulia eeeh???Dunia nzima inalia na kuhuzunika na mauaji ya kinyama dhidi ya raia wasio na hatia huko Gaza.
NIKUPE POLE WEWE NA WALE WENYE MPANGO WA KUIPOTEZA ISRAEL KWENYE RAMANI YA DUNIAPole sana
Hao jamaa walimkataa Yesu kitambo sana,MKUU HATA HUJUI UKRSTO.
MSINGI WA UKRSTO NI MUNGU WA WAYAHUDI YEHOVAH NA MWANAE EMMANUELI (YESU) NA ROHO WA MUNGU YEHOVAH
NB: UNASEMA WAYAHUDI HAWAMWAMINI YESU KUMBE HATA TORATI HUIJUI UNAONGEA TU
NENDA KASOME GOMBO LA NABII ISAYA KWENYE TORATI TAKATIFU.
Elimu Elimu ElimuIla kuna watu wajinga duniani asee
MKUU NIMEKWAMBIA KAMA UNADAI WAYAHUDI HAWAMJUI EMANUELI MASIHI (YESU)Hao jamaa walimkataa Yesu kitambo sana,
Pilato aliwauliza nimfungulie nani auliwe? Maana kulikuwa na wafungwa wawili Yesu na Baraba
Wayahudi wakasema Baraba afunguliwe aachiwe huru ila Yesu wakabidhiwe wamsurubu
Pilato akawaambia mtalaaniwa wakamjibu laana ya kumuua iwe juu yetu na juu ya vizazi vyetu
Yesu akakabidhiwa kwa Wayahudi akauliwa
Myahudi yupi alimuua yesu??Hao jamaa walimkataa Yesu kitambo sana,
Pilato aliwauliza nimfungulie nani auliwe? Maana kulikuwa na wafungwa wawili Yesu na Baraba
Wayahudi wakasema Baraba afunguliwe aachiwe huru ila Yesu wakabidhiwe wamsurubu
Pilato akawaambia mtalaaniwa wakamjibu laana ya kumuua iwe juu yetu na juu ya vizazi vyetu
Yesu akakabidhiwa kwa Wayahudi akauliwa
Hicho kijitabu kimejaa ujinga..Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Quran)
Mbona mnakimbilia ulaya na marekani kwa wingi..Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Quran)
FactHicho kijitabu kimejaa ujinga.
Soma hiyo uongeze maarifaMKUU NIMEKWAMBIA KAMA UNADAI WAYAHUDI HAWAMJUI EMANUELI MASIHI (YESU)
SIMBA WA YUDA
MUNGU MWENYE UWEZO.
KASOME TORATI TAKATIFU KATIKA GOMBO LA MANABII ISAYAH NA NABII NEHEMIAH.
NB:USIONGEE TU KUFURAHISHA GENGE
WAYAHUDI NA WAKRSTO WANAISHI KUPITIA TORATI NA INJILI YA MUNGU WAO YEHOVA NA MWANAE YESU.
MKUU MIMI SISOMI WIKIPEDIA BALI NASOMA TORATI TAKATIFU YA MUNGU WA WAYAHUDI NA WAKRSTO.
Pole sanaWewe ndio huna hoja mkuu.
Wenye udini hao wanaopanga kuwapoteza wayahudi kwenye ramani ya dunia
Naona sasa umekosa hojaMKUU MIMI SISOMI WIKIPEDIA BALI NASOMA TORATI TAKATIFU YA MUNGU WA WAYAHUDI NA WAKRSTO.
NB: SIKU NYINGINE UKIONGEA VITU UJUE WAPO WATU WENYE DINI YAO NA WANAJUA KULIKO WEWE.
NB: WAISLAMU WANAHANGAIKA SANA KUWASHAWISHI WAKRSTO WAWACHUKIE WAYAHUDI NA HAWAJUI HAYA MAKUNDI MAWILI MUNGU WAO NI MMOJA EL SHADAI NA MWANAE EMANUELI
Jitahidi kuheshimu imani za wengine. Mbona mimi ni Mkristo kama wewe mkuuAllah na mudi ni wapuuzi tu. Bure kabisa
Picha za yanayoendelea zinahuzunisha sana!! Ila aliyewashawishi kwenda kulipua mzinga WA nyuki bila tahadhari ndio WA kubeba laana zote za mateso ya raiaAcha wachakazwe tu,kwa akili zao wenyewe waliamua kwenda kuwachoza waisrael bila kulazimishwa na mtu yeyote
Kwa hio wakipata kipigo wapambane na hali zao huko huko wasitake kuonewa huruma
Wewe huna uwezo wa ku argue na mimi maana uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo.tafuta wa size yakoOctober 07 haikulia eeeh???
Ndio inalia sasa hivi???
Si walikua wanashangilia October 07
Sasa wanalia nini??
MKUU SASA WEWE UNANIPA WIKIPEDIANaona sasa umekosa hoja
Hilo liko wazi mkuu Wayahudi hawamwamini Yesu na wala hawaamini kwenye UTATU MTAKATIFU (Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu)
Kwa hiyo Wakristo tusijependekeze kwa Wayahudi
Uyahudi ni dini inajitegemea na mafundisho yake kama vile ilivyo kwa Ukristo, Uislamu, Hindu, Buddhism, Shinto n.k
MKUU HIVI ULITEGEMEA BAADA YA OCTOBER 07 IDF WATAWACHEKEA WAARABU.Wewe huna uwezo wa ku argue na mimi maana uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo.tafuta wa size yako