Tetesi: Safisha safisha yaanza serikalini na idara zake

Waondoke tu,kuna sabotage sana.
 
Nadhan ww ni mpiga chapa ukipiga jana leo ukasubiri urushwe tuu...well done
 
Umeongezea hiyo quote ya Ben Saanane hata sijui ina uhusiano gani na hii habari?

Halafu ujuwe ni misimamo ya wapambe kama kina Bashite, ambao labda hata walikuwa hawamfahamu Ben Saanane vyema na kuwa ni kijana mwenye akili kubwa.

Hiyo quote wangeiona kabla hawajamteka labda na kumdhuru, unadhani wangeweza ghairisha kumteka endapo wangefahamu kuwa ni mzalendo na angependelea Taifa lipate maendeleo?
 
Nina maana yangu kuiweka hapo mkuu
 
Haya yanatusaidia nini kama nchi.Ateue yeye tushangilie sisi.Atengue yeye tushangile sisi....Swali ni kwanini aliwateua na nikwanini amewatengua.Angekuwa ametoa ajira kwa wahitimu wote wa ualimu bila shaka watanzania wote wangeshangilia.
 
Tatizo linaweza likawa kwa mteuaji. Kushindwa kuteua watu sahihi huku unajigamba unatumia muda na umakini kwenye hilo zoezi napo ni uzembe.
Unakosea wakulaumiwa ni wanaomletea majina ateue au huwajui wazee wa vetting?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…